Kasome upya nilicho sema....ilikuwa hiyo amplifier ya pili uliyo post yenye resistor ya 100k ...hapo juu sioni chini umeunga vipi na resistor ipi na kuna resistor imesimama wima hivyo nikatizama na kusema kama hiyo 100k ineungana na hiyo resistor ya blue ambayo ni 10k basi hiyo amplifier yako itakuwa na makosa kwa sababu 10k kuunganq na 100k ya feedback resistor ...Gain ya hiyo amplifier itakuwa ni 10 tu hivyo itakuwa ni amplifier uchwara...kisha nikasema kama hiyo 100k imeungana kwa chini na hiyo resistor iliyo simama basi hadi nijue ohms zake ndiyo nitaja gain ....wewe ukaja kuniambia hiyo resistor iliyo simamq ni 470ohm nikakuambia basi moja kwa moja hiyo 100k kwa chini imeungana na hiyo 470ohm na siyo hiyo resistor ya blue hivyo hiyo amplifier hipo sahihi maana 100k ÷470ohm unapata gain ya kutosha kuita hiyo samiti ni amplifier......nilicho kuwa najiuliza ni hiyo 100k kwa chini imeungana na resistor ipi kama ni 10k ni kubwa sana kuna kosa ila nimejua kuwa imeungana na 470ohm hiyo iliyo simama wima ...kama ni uongo thibitisha kuwa aijaungana kwa chini na hiyo ya 470ohms