Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

Hivi vitu vina tegemeana kwa nini na sema vinategemeana let say umechukua chaji mbili za simu moja ina amp 3 nyingine ina amp 1 zote zinatoa 5v ila amp ni tofauti hapo chaji yenye amp 3 itajaza haraka kwa sababu inatoa current ya kutosha hivyo hivyo kwenye amplifier yenye current ya kutosha itakuwa ina nguvu tofauti na yenye current ndogo sasa kutegemeana kupo hivi hata kama amplifier itakuwa na volt na current nyingi. ila gain ya amplifier ikawa ndogo basi hiyo amplifier itakuwa haina nguvu kiufupi ni kwamba hivi vitu vinategemeana
 
Ta
Lwiva na agera ngoja ni wakumbushe kitu ukichukua transformer 2 zinazotoa output ya 30-0-30 wakati huo transformer moja ilisukwa na waya mnene na nyingine waya mwembamba hiyo ya waya mnene amplifier yake itakuwa na nguvu kwa sababu ili amplifier iwe na nguvu kitu cha kwanza power supply note hata iweje kama moto ni mdogo ila gain ni kubwa bado sauti itabaki kuwa ndogo na hata voltage zikiwa nyingi ila current ndogo upigaji utakuwa tofauti na current ikiwa nyingi
Tatizo lako unani fundisha vitu vya chekechea vya eletronic ambavyo mtu yoyote anavijua ....tatizo lenu mnachanganya SOURCE OF POWER NA IN PUT SIGNAL NA OUT PUT POWER..hapa tunaongelea in put signal na output power na ndiyo kuna hizo aina nne za amplifier...kwa hiyo hicho unacho sema wewe kuhusu source ya umeme ni muhimu...na kwenye sauti ni lazima source iwe na current ya kutosha maana sauti ni current siyo volt
 
Ni sahihi ili upate 100w output unahitaji transfomer ya zaidi ya 150w depending na class ya amplifier unayotumia

Unaweza kuwa na transfomer 30 0 30 5A na ingine 30 0 30 2A

Transfoma ya kwanza italimit power to only 200w ..hivo Kama utaweka channel mbili zitagawana ziwe 100each na transfoma ya kwanza italimit power to only 80w kabla distortion haijaanza ku appear
 
Hivi vitu vina tegemeana kwa nini na sema vinategemeana let say umechukua chaji mbili za simu moja ina amp 3 nyingine ina amp 1 zote zinatoa 5v ila amp ni tofauti hapo chaji yenye amp 3 itajaza haraka kwa sababu inatoa current ya kutosha hivyo hivyo kwenye amplifier yenye current ya kutosha itakuwa ina nguvu tofauti na yenye current ndogo sasa kutegemeana kupo hivi hata kama amplifier itakuwa na volt na current nyingi. ila gain ya amplifier ikawa ndogo basi hiyo amplifier itakuwa haina nguvu kiufupi ni kwamba hivi vitu vinategemeana
Gain is used to match your audio source na amplifier

Unaweza weka gain ndogo kwa amp yako let's say 20times Ila my input signal ikawa ni kubwa zaidi hivo hata gain ikiwa ndogo no problem
 
Ta

Tatizo lako unani fundisha vitu vya chekechea vya eletronic ambavyo mtu yoyote anavijua ....tatizo lenu mnachanganya SOURCE OF POWER NA IN PUT SIGNAL NA OUT PUT POWER..hapa tunaongelea in put signal na output power na ndiyo kuna hizo aina nne za amplifier...kwa hiyo hicho unacho sema wewe kuhusu source ya umeme ni muhimu...na kwenye sauti ni lazima source iwe na current ya kutosha maana sauti ni current siyo volt
Hatuingizi current kwenye amplifier Bali volt AC

Wapi ushawahi Ina amplifier imeandikwa input signal ni 0.5A au 1A ..huwa inaandikwa volt either 0.2mV to 2v
 
Hapa hatuongelei source ya umeme hapa tunaongelea in put signal na out put power kuna mambo matatu hapo wewe unachanganya mambo
1)Source of power ac or dc
2)in put signal
3)output power
Aina 4 za amplifier zote tunazungumzia no 2 na 3 yaani in put signal and out put power. Kuhusu hizo volt zinazo andikwa ungeniuliza nini maana yake na kwanini awaandiki current isipokwa wanaandika maximum Watts ya amplifier
 
Hapa hatuongelei source ya umeme hapa tunaongelea in put signal na out put power kuna mambo matatu hapo wewe unachanganya mambo
1)Source of power ac or dc
2)in put signal
3)output power
Aina 4 za amplifier zote tunazungumzia no 2 na 3 yaani in put signal and out put power
Naongelea signal tunayoingiza kwenye amplifier
 
Hivi vitu vinavyoweza tegemeana kwa nini na sema vinategemeana let say umechukua chaji mbili za simu moja ina amp 3 nyingine ina amp 1 zote zinatoa 5v ila amp ni tofauti hapo chaji yenye amp 3 itajaza haraka kwa sabuni inatoa current ya kutosha hivyo hivyo kwenye amplifier yenye current ya kutosha itakuwa ina nguvu tofauti na yenye current ndogo sasa kutegemeana kupo hivi hata kama amplifier itakuwa na volt na current nyingi. ila gain ya amplifier ikawa ndogo basi hiyo amplifier itakuwa haina nguvu kiufupi ni kwamba hivi vitu vinategemeana
 
Naona hamjaelewa nilichosema nimesema vitu hivi vinategemeana kama power source itakuwa dhaifu unadhani ikiingiza input kubwa utapata output nzuri huwezi kupata clear sound lazima upate distortion
 
Naongelea signal tunayoingiza kwenye amplifier
Unajua kwanini inaandikwa hivyo ? Hizo ni constant volt ...kinacho badilika ukipunguza sauti au kuongeza ni current... hivyo current aziandikwi kwa sababu ni adjustable
 
Naona hamjaelewa nilichosema nimesema vitu hivi vinategemeana kama power source itakuwa dhaifu unadhani ikiingiza input kubwa utapata output nzuri huwezi kupata clear sound lazima upate distortion
Mimi ninaelewa jamaa ndiyo anachanganya mambo matatu hapa tulikuwa tonaongelea amplifier yenye utimilifu kwenye source..hivyo source hatukuionglea maana tuli fanya kuwa source ipo kamili ipasavyo...kuhusu kutegemeana ni kwamba electronic yote ipo hivyo... vitu vinategemeana ndiyo maana kuna mahesabu ya kujua uwiano wa vitu
 
Unajua kwanini inaandikwa hivyo ? Hizo ni constant volt ...kinacho badilika ukipunguza sauti au kuongeza ni current... hivyo current aziandikwi kwa sababu ni adjustable
Amplifier inatoa current ama ac voltage?
 
Na kwenye amplifier ya transistor yenye power mbili c5200 na A1941 inaweza toa watts ngapi mwisho wa umeme kiasi gani ? Na je tukiongeza power transistor ziwe jumla nne nini kitatokea ...
 
Amplifier inatoa current ama ac voltage?
Wewe kichwa chako ni kibovu nimetoka kukuambia kuwa kuna aina 4 za amplifier ulimwenguni ni 4 tu sasa unaniuliza swali gani ilo ...
👉Labda ungeuliza amplifier ya sauti inatoa AC au CURRENT?
1)Jibu hapo kwanza umekosea amplifier ya sauti haifanyi kazi na umeme wa AC hivyo inatakiwa ubadilishwe kuwa DC ndiyo uende kwenye amplifier.
2)jibu amplifier ya sauti inatoa CURRENT
 
Back
Top Bottom