El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
unaijua computer wewe amplifier yenyewe mpaka ugoogle 🤣 🤣Mimi nakuundia kitu chochote cha electronic hata computer
unaijua computer wewe amplifier yenyewe mpaka ugoogle 🤣 🤣Mimi nakuundia kitu chochote cha electronic hata computer
we aliyekwambia gain ya amplifier inapatkana kwa kugawanya resistor 220k/200 si kulisha wenzio matango pori🤣🤣Mimi nakuundia kitu chochote cha electronic hata computer
Pole usidhani mimi ni mbumbumbu wa udsm na waprofesa wao uchwara.unaijua computer wewe amplifier yenyewe mpaka ugoogle 🤣 🤣
Wewe ulitakiwa kuniomba nikufundishe utazijuaje resistor ya gain kwenye amplifier...ungekuja kunishukuru...we aliyekwambia gain ya amplifier inapatkana kwa kugawanya resistor 220k/200 si kulisha wenzio matango pori🤣🤣
hakuna kitu pumba tupu 🤣 🤣Pole usidhani mimi ni mbumbumbu wa udsm na waprofesa wao uchwara.
Wewe unajua nini kuhusu electronics .nina maswali nataka unielimishe ?hakuna kitu pumba tupu 🤣 🤣
embedded systems.hata izo amplifier zako classes AB, D NA HWewe unajua nini kuhusu electronics .
Kwa hiyo Upo tayari kwa maswali.embedded systems.hata izo amplifier zako classes AB, D NA H
NDIOKwa hiyo Upo tayari kwa maswali.
Au nataka tu design kwa kutumia software ? Mimi naweza kutumia software au manual kwa kutumia peni na karatasi kwa kufanya mahesabu ya electronicshakuna anayejua kudesing amp apa nimegundua mmekalili michoro na melezo tu
WE ULIZA SWALI ACHA MBWEMBWEAu nataka tu design kwa kutumia software ? Mimi naweza kutumia software au manual kwa kutumia peni na karatasi kwa kufanya mahesabu ya electronics
Sinta kuuliza maswali ya darasani bali nitakuuliza maswali yenye logic za electronics usije ukaenda gpt kutafuta majibuNDIO
Hz ni HERTZ unit ya frequency.transformer haifanyi kazi na dc coz haiwezi kuproduce varying magnetic field pili coil ya transformer inatoa resistance ndogo kwa dc inaweza choma coil. oscillation ni kujirudia kwa signal kutoka point moja mfano a.c inavary kuaniz POSITIVE kwenda negative kupitia zero pointSinta kuuliza maswali ya darasani bali nitakuuliza maswali yenye logic za electronics usije ukaenda gpt kutafuta majibu
Swali la kwanza
1) HZ ina maana gani kwenye mambo ya umeme ....
2)kwanini transformer aifanyi kazi na umeme wa DC
3)OSCILLATION ina mantiki gani kwenye mambo ya umeme .
Tunaanzia haya maswali mepesi
Jibu la kwanza umepata nusu pia maswali ujayaelewa...transformer inafanya kazi na dc pia😁 ila katika first pick...nikama bunduki ikisetiwa aut matiki ni AC na ikisetiwa manual ni DC hapo uwezi kusema bunduki aifanyi kazi kwenye manual eti kwa sababu ukibonyeza kifyatuzi na kukishikilia hivyo hivyo risasi inayo toka ni moja tu hiyo hiyo...wakati kwenye aut matiki ukibonyeza kifyatuzi na kukishikilia hivyo hivyo risasi zinatoka mfululizo..hivyo transformer inafanya kazi na umeme wa AC NA DC PIA...hapa nilijua msomi feki wa udsm lazima ulambe mchanga kwenye jibu lakoHz ni HERTZ unit ya frequency.transformer haifanyi kazi na dc coz haiwezi kuproduce varying magnetic field pili coil ya transformer inatoa resistance ndogo kwa dc inaweza choma coil. oscillation ni kujirudia kwa signal kutoka point moja mfano a.c inavary kuaniz POSITIVE kwenda negative kupitia zero point
El marabiosh wewe ndy unajifanya hau Google wakati huo hivyo vifaa unavyotumia umetengeneza wewe kwamba unajua huu mguu wa moto au huu wa signal ? Utajuaje tda 2050 inaingiza mwisho volt ngapi bila kugoogle nilijua akili zimozimo kumbe ni popoma mzungu mwenyewe ana Google wewe nani ?we aliyekwambia gain ya amplifier inapatkana kwa kugawanya resistor 220k/200 si kulisha wenzio matango pori🤣🤣
haya mmeshindaEl marabiosh wewe ndy unajifanya hau Google wakati huo hivyo vifaa unavyotumia umetengeneza wewe kwamba unajua huu mguu wa moto au huu wa signal ? Utajuaje tda 2050 inaingiza mwisho volt ngapi bila kugoogle nilijua akili zimozimo kumbe ni popoma mzungu mwenyewe ana Google wewe nani ?
bishana na mtaalam mwenzio wanwanJibu la kwanza umepata nusu pia maswali ujayaelewa...transformer inafanya kazi na dc pia😁 ila katika first pick...nikama bunduki ikisetiwa aut matiki ni AC na ikisetiwa manual ni DC hapo uwezi kusema bunduki aifanyi kazi kwenye manual eti kwa sababu ukibonyeza kifyatuzi na kukishikilia hivyo hivyo risasi inayo toka ni moja tu hiyo hiyo...wakati kwenye aut matiki ukibonyeza kifyatuzi na kukishikilia hivyo hivyo risasi zinatoka mfululizo..hivyo transformer inafanya kazi na umeme wa AC NA DC PIA...hapa nilijua msomi feki wa udsm lazima ulambe mchanga kwenye jibu lako
Janja yako ilikuwa kutumia AI kujibu nilijua lazima utajibu kuwa DC aifanyi kazi na transformer maana kwenye Google watakujibu kuwa,dc aiwezi kufanya kazi na transformer...tofauti ya AC na DC KWENYE TRANSFORMER NI SAWA SAWA NA AUTOMATIC GUN NA MANUAL GUN (KAMA GOBOLE)bishana na mtaalam mwenzio wanwan