Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

Akili kazi yake siyo kuvumbua tu pia inaweza kuzi study vumbuzi za wengine na kuzifahamu vizuri zaidi na kuzipambanua . Hata kitu kinaitwa reverse engineer ni ustadi wa akili kusoma na kubaini siri za vumbuzi za wengine
Acha blah blah
 
Tuendelee na topic yetu ya amplifier
 
Wewe kichwa chako ni kibovu nimetoka kukuambia kuwa kuna aina 4 za amplifier ulimwenguni ni 4 tu sasa unaniuliza swali gani ilo ...
👉Labda ungeuliza amplifier ya sauti inatoa AC au CURRENT?
1)Jibu hapo kwanza umekosea amplifier ya sauti haifanyi kazi na umeme wa AC hivyo inatakiwa ubadilishwe kuwa DC ndiyo uende kwenye amplifier.
2)jibu amplifier ya sauti inatoa CURRENT
We kichwa ako ni matope
 
Kama unabisha basi wewe ndiyo wale wasomi feki nakushauri kafanye majaribio ya vitendo tumia analog voltmeter yaani ile ya mshale kisha tafuta Betri na transformer ...sibishanagi na watu wajinga wabishi nenda kafanye jaribio uone kama out put ya transformer haija soma volt na kurudi zero volt
Mkuu wewe Hauna akili

Transfoma haifanyi kazi na dc

Hio test ya kitoto nikifanya standard 3

Ukiweka umeme dc magnetic field inasababisha secondary ipate umeme in second Kisha uki disconnect battery pia utapata umeme in second

Hivo inabidi uuchezeshe huo umeme wa dc to 50hz Kama unatumia transfoma za kawaida ambapo ukishachezesha huo umeme inakuwa sio dc Tena ni AC shwain
 
Ndiyo kufanya kazi huko ..hao wanasayansi walikosea kusema aifanyi kazi ilitakiwa waseme inafanya kazi ila siyo continues..kuna makosa ya lugha kama inafanya kazi mara moja ndiyo imefanya kazi hiyo je gobole siyo bunduki kwa sababu inapiga risasi moja siyo mfululizo .
Ac inaiwezesha transformer kufanya kazi mfululizo ila dc inaiwezesha transformer kufanya kazi mara moja tu
 
Na kwenye amplifier ya transistor yenye power mbili c5200 na A1941 inaweza toa watts ngapi mwisho wa umeme kiasi gani ? Na je tukiongeza power transistor ziwe jumla nne nini kitatokea ...
Sasa wewe ili swali.lako mbona la chekechea ndiyo maana sijibugi ...kwenye kusuka inverter tunawekaga power za kutosha na mahesabu yake ni yaleyale sawa na amplifier kwenye load Resistor .
 
Mimi hapa sielewi chochote kile ni kama kuwaangalia vyura kwenye maji tu
 
Lwiva na agera ngoja ni wakumbushe kitu ukichukua transformer 2 zinazotoa output ya 30-0-30 wakati huo transformer moja ilisukwa na waya mnene na nyingine waya mwembamba hiyo ya waya mnene amplifier yake itakuwa na nguvu kwa sababu ili amplifier iwe na nguvu kitu cha kwanza power supply note hata iweje kama moto ni mdogo ila gain ni kubwa bado sauti itabaki kuwa ndogo na hata voltage zikiwa nyingi ila current ndogo upigaji utakuwa tofauti na current ikiwa nyingi
Mmh
 
D2050 Bridge amplifier
 
Attachments

  • IMG_20250904_105005_013.jpg
    IMG_20250904_105005_013.jpg
    252.1 KB · Views: 22
Back
Top Bottom