El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
haya kaweke DCJanja yako ilikuwa kutumia AI kujibu nilijua lazima utajibu kuwa DC aifanyi kazi na transformer maana kwenye Google watakujibu kuwa,dc aiwezi kufanya kazi na transformer...tofauti ya AC na DC KWENYE TRANSFORMER NI SAWA SAWA NA AUTOMATIC GUN NA MANUAL GUN (KAMA GOBOLE)