Akili ndiyo uvumbua elimu hivyo ukiwa na akili kubwa ni kitu bora duniani kuliko elimu kubwa hata waajiri duniani wanatafuta usiku na mchana watu wenye akili zaidi kuliko elimu ...mfalme selemani aoiomba akili kwa mungu na mungu alimpongeza kiongozi mzuri ni yule mwenye akili zaidi siyo mwenye elimu kubwa ...akili ndiyo inayo vumbua elimu mpya na kuziboresha elimu ..
Hivyo ukiambiwa uchague kati ya pesa na elimu basi chagua pesa ila ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili chagua akili...hizi free energy za kina mwambukusi niliunda miaka ya 89 nikiwa ndogo sana..amplifier niliziunda nikiwa chini ya darasa la 4 wakati huo hakukuwa na smartphone nilitengeneza radio yangu ya kwanza ya free energy mwaka 1989 vifaa nilitoa kwenye redio enzi hizo kulikuwa na transistor tulizo kuwa tuna ziita za bati radio ilikuwa ni mw na fm moja tu zote za serikali
Akili yako ilivumbua transitor au diode au semiconductor gani ,? ,Acha ujuaji zero
Hivi unajua hizi Electronics revolutions toka Kwenye transistors huko mpaka leo tupo kwenye Electronics chips ambazo zina millions of transitors in micro levels ,unajua ilifanyika vipi ? , Unafikiri ni kwanini makampuni yanawekeza kwenye scientific studies ,researches and development ? ,We una akili kuliko wao sio ?
Unafikiri huo ugeniuos uchwara huwa unafanyika huko kwenye hizi researches au wanapofanya studies ya knowledge iliyopo na kufanya trials and errors kutafuta breakthrough ya njia mpya za kudeal na issues ?
Nenda kafanye utafiti uone wanaofanya hizo scientific research and development uone kama ni ngumbaru wenu hao wa veta na mafundi maiko , TSMC inafanya kazi kwa zaidi ya asilimia 50 na elite proffesors na proffessionals wenye elimu ya kuanzia bachelor degree na kuendelea ,wengi ni masters degree ,huo ni mfano tu Nenda NVidia ,Intel ,Texas instruments nk trend ni hiyo hiyo ,we unafikiri wanarecruit ngumbaru toka veta huko India ,Japan ,China ,Korea ,USA nk ?
Jaribu kujielimisha
Scientific and technological invention au discovery inayofanyika sasa hivi inategemea Knowledge iliyokuwepo , yaani ni mtu ana innovate basing kwenye Knowledge ambayo ilishakuwepo ,huo ugeniuos uchwara ni illusions na si uhalisia wa mambo kwenye science