Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

Naweza kuku chambulia hiyo amplifier yako na kukupa elimu zaidi mfano hapo kwenye resistor ya 22k inayo ungana na resistor ya 220 ohms unajua nini maana yake ? Hiyo 22k ni FEEDBACK RESISTOR...hapo ukitaka kujua gain ya amplifier yako unatakiwa kugawanya hiyo 22k ÷kwa 220= 100 gain hivyo hiyo amplifier yako ina gain ya 100
That means for 100w output we need 0.2mV as input signal
 
Wewe ujui ila unadhani una jua ...kuna mahesabu tunafanya na kuna logic tunatumia kujua nini ni nini kama hiyo resistor ni 470ohms basi hiyo resistor ndiyo imeungana na hiyo ya 100k kwa chini hapo sasa nitakutajia GAIN YA HIYO AMPLIFIER YAKO AMBAYO ITAKUWA NI 100K ÷ 470ohms = na GAIN YA 212 hivyo hii amplifier ina nguvu zaidi ya ile ya kwanza .....tatizo lako ujui kwanini nataja sana neno GAIN badala ya kujifunza unaleta ubishi ....mafundi wengi mnasumbuliwa na mechanics ya tepu ya redio za sony ila mimi niwewaelekeza mafundi baadhi jinsi ya ku bypass ile mechanics hivyo unakuta redio ya sony inafanya kazi bila ya raba zake za ndani au kutegemea chochote kwenye mechanics....sasa ikitokea imekufa amplifier watu kama wewe hua mnasukia kama hizo kitu cha kushangaza macho kutana nacho ni hiyo redio kuanza ghafla kutaka mechanics ya tepu mnabaki kushangaa imekuwaje ilikuwa inafanya kazi bila ya raba yoyote ila ghafla inaanza kusumbua tena kudai tape 😁😁😁
Ile ya kwanza yenye gain 100 na hii yenye gain 212

Kama zinatumia transfoma moja na Zina power mbili mbili haimaanishi yenye gain 212 Ina nguvu zaidi Bali input sentivity yake ni ndogo zaidi for full output eg for 100w output 4ohms load unahitaji 0.09mV signal ,, Ila ile yenye gain 100 unahitaji 0.2mV
 
Ndiyo maana kuna mahesabu ...mimi sijaongea unacho ongea hapo sikusema gain yoyote ni sahihi ...ndiyo maana wakati mwingine ni bora kupunguza gain hili amplifier isidrive current nyingi na kuifanya idumu hata kwenye tda 2050 zikiwa zinalipuka na kupata joto t7nacheza na hiyo feedback resistor na hiyo divider resistor yake ....unaongeza ohms kama hapa pichani 22k gawanya kwa 470ohm sasa hapo kwenye 470 ohm unaongeza ohms na hata 1k au 2k joto na kuungua kwa tda kunakwisha mazima ...pichani nimeonyesha tda 2050 na feedback resistor yake ni 22k na devider resistor yake ni 470ohm
22k gawa 470ohms

Gain ni 46 equal to 33db hio ndo gain ya mwisho unayoweza tumia kwa tda2050
 
Ku parallel means umeunga 22k na 560ohms pamoja right?
Naona tumeanza kuongea lugha moja Sasa Kama ulikuwa unajua hivyo kwa Nini ulinitoa akili kwamba nimeweka resistor kubwa wakati kilakitu kinaeleweka nimeisha fanya project nyingi Sana mpaka nikafahamu ukitoa hiki ukaweka hiki inakuwa hivi ssa ngoja nikwambie hiyo 22k feedback resistor uki iparallel na 560ohms unaondoa high frequency na amplifier yako itakuwa inapiga low peke yake yani bass only
 
That means for 100w output we need 0.2mV as input signal
Umekosea hizo ni current to current amplifier siyo volt to volt amplifier..kuna aina 4 za amplifier
1)volt to volt amplifier
2)current to current amplifier
3)volt to current amplifier
4)current to volt amplifier.
Kwenye mambo ya sauti hapo ni current to current amplifier...yaani in put current × gain=out put power
 
Umekosea hizo ni current to current amplifier siyo volt to volt amplifier..kuna aina 4 za amplifier
1)volt to volt amplifier
2)current to current amplifier
3)volt to current amplifier
4)current to volt amplifier.
Kwenye mambo ya sauti hapo ni current to current amplifier...yaani in put current × gain=out put power
Kwenye amp tunaingiza current ama ac voltage
 
Umekosea hizo ni current to current amplifier siyo volt to volt amplifier..kuna aina 4 za amplifier
1)volt to volt amplifier
2)current to current amplifier
3)volt to current amplifier
4)current to volt amplifier.
Kwenye mambo ya sauti hapo ni current to current amplifier...yaani in put current × gain=out put power
Unachanganya ma file
 
Lwiva na agera ngoja ni wakumbushe kitu ukichukua transformer 2 zinazotoa output ya 30-0-30 wakati huo transformer moja ilisukwa na waya mnene na nyingine waya mwembamba hiyo ya waya mnene amplifier yake itakuwa na nguvu kwa sababu ili amplifier iwe na nguvu kitu cha kwanza power supply note hata iweje kama moto ni mdogo ila gain ni kubwa bado sauti itabaki kuwa ndogo na hata voltage zikiwa nyingi ila current ndogo upigaji utakuwa tofauti na current ikiwa nyingi
 
Back
Top Bottom