- Thread starter
- #21
Hilo eneo lilikua ni la serikali au wananchi?Kwani saizi Serikali inawatoa Ili ifanyaje Sasa.
Tzn ni kubwa unakaa Mabondeni harafu useme Serikali imeshindwa wajibu wake? Hapo pote ni catchment area.
Kwanza wanatakiwa kufurushwa wote ni huruma tuu Samia anafanya.
Ikiwa ni la wananchi , mwananchi atakaekataa kupokea pesa akataka abaki eneo hilo serikali itamuondoa kwa lazima?