johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunaongozwa na katiba au utamaduni wa CCMKwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili
Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu
Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?
Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi
Jumaa Mubarak π
Chanzo cha Katiba ni Utamaduni πTunaongozwa na katiba au utamaduni wa CCM
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili
Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu
Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?
Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi
Jumaa Mubarak π
Hujajibu swali Narudia tena tunaongozwa na katiba au tamaduni za CCM?Chanzo cha Katiba ni Utamaduni π
KatibaHujajibu swali Narudia tena tunaongozwa na katiba au tamaduni za CCM?
Wacha ujinga vilio vinatoka huko huko CCM kwani iliyovunjwa ni katiba ya CCM siyo ya Nchi. Una ujuaji wa kishamba sana wewe zoba. Hebu soma uzi wa Paschal Mayalla ndiyo utaelewa. Chadema wana yao ya kufanya siyo kufuatilia upumbavu wenu huko CCM.Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili
Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu
Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?
Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi
Jumaa Mubarak π
Huyu mjinga ameshalewa hawezi kukujibu na hajui kinachoendelea huko ndani ya CCM, wamelikoroga wenyewe wanataka kuihusisha Chadema na upuuzi wao.Hujajibu swali Narudia tena tunaongozwa na katiba au tamaduni za CCM?
Kumbe CCM inaongozwa kwa utamanaduni sio katiba..Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili
Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu
Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?
Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi
Jumaa Mubarak [emoji3]
Wanaopinga Azimio la Kimbisa ndio mazezetaWacha ujinga vilio vinatoka huko huko CCM kwani iliyovunjwa ni katiba ya CCM siyo ya Nchi. Una ujuaji wa kishamba sana wewe zoba. Hebu soma uzi wa Paschal Mayalla ndiyo utaemewa. Chadema wana yao ya kufanya siyo kufuatilia upumbavu wenu huko CCM.
Katiba ni maandishi tu πΌKumbe CCM inaongozwa kwa utamanaduni sio katiba..
Mzigo wa madeni ya Wajumbe umewashinda ndio mtaweza ya uchaguzi wa Chama Dola? πΌπHuyu mjinga ameshalewa hawezi kukujibu na hajui kinachoendelea huko ndani ya CCM, wamelikoroga wenyewe wanataka kuihusisha Chadema na upuuzi wao.
Unashindwa kutetea andiko lako unaanza kuhamisha magoli. Pombe chafu zimekutoa ufahamu kabisa.Mzigo wa madeni ya Wajumbe umewashinda ndio mtaweza ya uchaguzi wa Chama Dola? πΌπ
Wanaopinga wako huko huko CCM na msijidanganye hili halijaisha hadi liishe. Mtauana sanaWanaopinga Azimio la Kimbisa ndio mazezeta
Hili jambo Komredi Polepole alijaribu kuliziba pale aliposema Dr Samia ni Rais wa Awamu ya 5
Angefanikiwa Komredi Polepole Kwenye Hoja yake ndio mwaka huu CCM ingetoa Fomu nyingi Kwa sababu tungekuwa tunatafuta Rais wa Awamu mpya πππ
Sasa tunapanga Safu ya WabungeWanaopinga wako huko huko CCM na msijidanganye hili halijaisha hadi liishe. Mtauana sana
Mtajuana wenyewe na utaahira wenu.Midume na kende zenu zinaning'inia kama kengele mnapelekeshwa na lishangazi toka nchi jirani huku mnakenua kama mazuzu vile.Sasa tunapanga Safu ya Wabunge
Waziri mkuu Dr Biteko πΌ
Hapo kwenye utamaduni ndipo shida ilipo. Chaka la kuvunjia katiba na sheria.Tunaongozwa na katiba au utamaduni wa CCM