johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili
Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu
Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?
Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi
Jumaa Mubarak 😀