Wanaopinga Azimio la Kimbisa pale Dodoma hawajui Utamaduni wa CCM unaochagizwa na Katiba yake ikisomwa sambamba na Katiba ya JMT. Hii ni Awamu ya 6!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak 😀
 
Tunaongozwa na katiba au utamaduni wa CCM
 
Attachments

  • 5938169-3f8437b06df44d0a7c8b8e175f481762.mp4
    23 MB
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak 😀
Wacha ujinga vilio vinatoka huko huko CCM kwani iliyovunjwa ni katiba ya CCM siyo ya Nchi. Una ujuaji wa kishamba sana wewe zoba. Hebu soma uzi wa Paschal Mayalla ndiyo utaelewa. Chadema wana yao ya kufanya siyo kufuatilia upumbavu wenu huko CCM.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak [emoji3]
Kumbe CCM inaongozwa kwa utamanaduni sio katiba..
 
Wacha ujinga vilio vinatoka huko huko CCM kwani iliyovunjwa ni katiba ya CCM siyo ya Nchi. Una ujuaji wa kishamba sana wewe zoba. Hebu soma uzi wa Paschal Mayalla ndiyo utaemewa. Chadema wana yao ya kufanya siyo kufuatilia upumbavu wenu huko CCM.
Wanaopinga Azimio la Kimbisa ndio mazezeta

Hili jambo Komredi Polepole alijaribu kuliziba pale aliposema Dr Samia ni Rais wa Awamu ya 5

Angefanikiwa Komredi Polepole Kwenye Hoja yake ndio mwaka huu CCM ingetoa Fomu nyingi Kwa sababu tungekuwa tunatafuta Rais wa Awamu mpya 😂😂😂
 
Wanaopinga wako huko huko CCM na msijidanganye hili halijaisha hadi liishe. Mtauana sana
 
Sasa tunapanga Safu ya Wabunge

Waziri mkuu Dr Biteko 🐼
Mtajuana wenyewe na utaahira wenu.Midume na kende zenu zinaning'inia kama kengele mnapelekeshwa na lishangazi toka nchi jirani huku mnakenua kama mazuzu vile.
 
Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    290.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom