Wanaopinga Azimio la Kimbisa pale Dodoma hawajui Utamaduni wa CCM unaochagizwa na Katiba yake ikisomwa sambamba na Katiba ya JMT. Hii ni Awamu ya 6!

Mtajuana wenyewe na utaahira wenu.Midume na kende zenu zinaning'inia kama kengele mnapelekeshwa na lishangazi toka nchi jirani huku mnakenua kama mazuzu vile.
Kwani Tundu Lisu anatoka Nchi gani?

Dunia ni Kijiji Simbilisi wahed😂
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak 😀
Kimbisa alisetiwa au alitumwa na akili yake? Ilikua intact au alikua under influence?
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak 😀
Sidhani kama ulichokiandika una maanisha au unalenga ushabiki.
Sijui mnapindisha ukweli kwa lengo gani... Samia yuko madarakani kwa sababu Rais mwenye n'gwe yake ya pili awamu ya tano alifariki akiwa madarakani.
Awamu ya tano inaisha October 2025, baada ya hapo inaanza awamu ya sita n'gwe ya kwanza ambapo Samia na watiania wengine ndani ya CCM wanapaswa kugombea uteuzi... Nini hakieleweki hapo?
 
Hiyo hoja Yako ilishaletwa na Komredi Polepole na ilikataliwa na Wanasiasa kwa kuchambua vifungu vya Katiba 🐼
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak 😀
TYK!
 
Hii sio hoja yangu wala ya Polepole huo ndio ukweli halisi wa mambo. Aliyeikataa anakataa ukweli na kwa makusudi kabisa anafanya kitu kinachoitwa " Political manipulation" ambao ni ulaghai kama ulaghai mwingine wowote ule.

Wanaofanya ulaghai huo wameteka taasisi na wanatishia kuvuruga hata utendaji bora wa mamlaka za nchi Ili kukidhi matamanio yao.

Kinachoshangaza zaidi ni hao wanachama wa CCM wanaonekana kuzidiwa ujanja na kundi la mashabiki na machawa.....

Wote wamegeuka kuwa mabubu viziwi! 😲
 
Tuelimishe wewe ni kwanini ni Awamu ya 5 na siyo ya 6

Mbona Katiba iko wazi Kabisa 🐼
 
Katiba

Katiba ya CCM ukiisoma sambamba na ile ya jmt inasema Rais wa JMT ataongoza Kwa Mihula miwili 😄
Punguza ujinga, katiba ya JMT haipaswi kusomwa sambamba na katiba ya Ccm! Katiba ya Ccm Ndio inatakiwa ifuate misingi ya JMT! Mnatetea ujinga tu
 
Mbona Wewe Ndio mjinga maana umerudia kile kile nilichoandika Mimi bila wewe mwenyewe kujitambua😄
 
Tuelimishe wewe ni kwanini ni Awamu ya 5 na siyo ya 6

Mbona Katiba iko wazi Kabisa 🐼
Awamu ziko kwenye katiba ya nchi na zinafuata mpangilio wa miaka ya uchaguzi. Uchaguzi una lengo la kumchagua Rais ambaye akiisha kuchaguliwa ana mandate ya kutawala kwa kipindi cha miaka kumi kinachogawanyika katika vipindi viwili vya miaka mitano mitano.

Baada ya Nyerere kutangaza kung'atuka alipendekeza Mzee Mwinyi kuwa mrithi wake na hivyo kutawala awamu ya pili iliyoanza 1985-1995 mwaka 1990 alichaguliwa kuendelea na kipindi chake cha pili.
Awamu ya tatu, Ilikuwa ya Ben Mkapa 1995-2005 akichaguliwa tena mwaka 2000 kwa kipindi chake cha pili.

Kikwete ndie aliyemfuata Mkapa kuanzia 2005-2015, kumbuka 2010 akichaguliwa kuhudumu kipindi chake cha pili.
Baada ya Kikwete alifuata Magufuli 2015-2015 ambaye alihudumu kipindi chake kimoja hadi 2020.

Pamoja na kuchaguliwa kuhudumu kipindi chake cha mwisho ambacho kinaishia 2025 October, alifariki tarehe isiyojulikana ya mwezi March na hivyo Samia aliyekuwa makamo wake kutawazwa kama Rais wa sita wa JMT akimalizia awamu ya Rais wa tano. . . Hii bado ni awamu ya tano kipindi cha pili kinamaliziwa na Rais wa sita aliyekuwa makamo wake!.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak [emoji3]

Duuuuhhhh kwa mujibu wa mazoea ………
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Awamu ziko kwenye katiba ya nchi na zinafuata mpangilio wa miaka ya uchaguzi. Uchaguzi una lengo la kumchagua Rais ambaye akiisha kuchaguliwa ana mandate ya kutawala kwa kipindi cha miaka kumi kinachogawanyika katika vipindi viwili vya miaka mitano mitano.

Baada ya Nyerere kutangaza kung'atuka alipendekeza Mzee Mwinyi kuwa mrithi wake na hivyo kutawala awamu ya pili iliyoanza 1985-1995 mwaka 1990 alichaguliwa kuendelea na kipindi chake cha pili.
Awamu ya tatu, Ilikuwa ya Ben Mkapa 1995-2005 akichaguliwa tena mwaka 2000 kwa kipindi chake cha pili.

Kikwete ndie aliyemfuata Mkapa kuanzia 2005-2015, kumbuka 2010 akichaguliwa kuhudumu kipindi chake cha pili.
Baada ya Kikwete alifuata Magufuli 2015-2015 ambaye alihudumu kipindi chake kimoja hadi 2020.

Pamoja na kuchaguliwa kuhudumu kipindi chake cha mwisho ambacho kinaishia 2025 October, alifariki tarehe isiyojulikana ya mwezi March na hivyo Samia aliyekuwa makamo wake kutawazwa kama Rais wa sita wa JMT akimalizia awamu ya Rais wa tano. . . Hii bado ni awamu ya tano kipindi cha pili kinamaliziwa na Rais wa sita aliyekuwa makamo wake!.
Katiba inasema Rais akifa Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi basi Makamu wa Rais atamalizia hicho Kipindi kilichobaki na kama atagombea Uchaguzi Mkuu na kushinda atakuwa na HAKI ya kuhudumu vipindi viwili

Hapo unasemaje? 😄
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili

Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili mfululizo na ndio sababu Katikati ya Mihula miwili inatolewa Fomu Moja tu

Sasa ni Wapi Adam Kimbisa alipokosea kwenye Azimio lake?

Sema wanaolialia ni Chadema ambao hawanaga uwezo wa kutumia Akili kubwa Nyakati za Uchaguzi

Jumaa Mubarak 😀
Awamu Ya Tano Hii, Usipotoshe Wewe
 
Back
Top Bottom