GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tumia akili wewe unajua kwa nini gharama azishushwi ...? Labda ilo bwawa wapewe mafisadi kina rostam azizi ndiyo watashushq tena kidogo tu sababu ni kuoinda biashara zao za gesi waliyo tuibia kifisadi chini ya kikwete
Akili zile zile za kijamaa ambazo unazeeka nazo. Usitazame bei ya umeme tazama upatikanaji wake namna Samia alivyomteua Dotto Biteko na anavyofanya kazi katika sekta ya nishati.

Punguza ushamba wa kuishi na chuki, zitakutesa moyoni na kama wewe ni kijana zitakuondoa kwa ugonjwa wa moyo, unajitengenezea mazingira ya kupigwa na stroke, be careful my friend.
 
Tumia akili unajua kwanini JPM alijikita kujenga bwawa wakati tuliweza zakisha umeme kwa gesi ? Hii gesi tuliyo nayo tayali imesha fanyiwa ufisadi wa kimikataba tena kuna kipindi hadi mengi alizuiliwa kuwekeza kwenye gesi....JPM alijenga bwawa la umeme ili gesi iweze kutunufaisha maana angeshusha bei ya umeme kama alivyo sema kwa nusu ya bei ya sasa yaani sh elfu 10 unapata UNIT 56 tayari mafisadi ya gesi yangelazimika kushusha bei ya gasi kwa nusu ...ukishusha bei ya umeme kwa nusu ukataji miti ungekoma kwa sababu watu wangepikia majiko ya umeme badala ya mkaa hivyo kufanya kilimo chetu ku9ngezeka maana mvua vmzingekuwa za kutosha ...faida ya kushusha bei ya umeme kwa nusu ingekuwa kubwa sana kiuchumi...uchumi wetu ungepaa ...cha kushangaza serikali pumbavu ya samia bushiri ndiyo kwanza inataka kuingia mikataba ya kuuziwa umeme na ethiopia badala ya sisi kuuza umeme nje tunataka kuuziwa ...nikikuuoiza kwanini hadi leo tunashindwa kuuza umeme hata zambia na malawi unalo jibu ? Usije kusema miundo mbinu hakuna ya kuoeleka umeme huko maana kabla ya bwawa kuisha na kuanza kazi ilitakiwa tujenge hiyo miundo mbinu ili kuisha kwa bwawa kuanze na kuuza umeme moja kwa moja siyo kusubiri bwawa liishe ndiyo tunajiuliza umeme tunaufikishaje kwenye masoko yenye uhitaji ....samia bushiri ana akili
 
Usiingize ukristo kwenye hii issue. Ni heri ungesema wanambagua kwenye suala la jinsia kwa sababu wengine wametamka wazi kuwa hawataki kuongozwa na mwanamke. Unataka kusema wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waliomchagua kuwa mgombea uRais wote ni waislam?
Hawana hoja, CCM ni ileile na mbinu zake za kuendelea kubaki madarakani ni zilezile, wanaobadilika ni viongozi wake tu. Hawa nyumbu wanataka kujifanya hawajui kama CCM wanautumia mlango huuhuu kuwapitisha viongozi wake kwenda Ikulu; hakuna mabadiliko wala cha ajabu hapo. Nani alikuwa anajua kama JPM angekuwa Rais siku moja, hata yeye mwenyewe hakuamini hadi anaaga dunia alikuwa hajamaliza kushangaa. Hawa nyumba wanataka kuufunga na kuusiliba mlango uleule uliowapitisha watangulizi.

Tuwaombe wamtaje mgombea wao ili tumtambue na kumdadavua tuone kama ni askofu, ni dini gani, ni dhehebu gani, jinsia gani, elimu gani, uzoefu upi, mwaminifu kiasi gani, na kabila gani ili tumpime mgombea wetu aliyepitichwa na chama kuwa mgombea pekee kwa sasa. Kuendelea kujificha na kuendelea kufanya fujo na kulalamika kama malaya aliyenyimwa malipo na mteje wake kwenye dangulo sio sawa, ni kupotezeana muda. Badala ya kulalamika chukua hatua mapema kwa kuanzisha ama chama chenu au kujiunga na vyama vingine vilivyoko au kusubiri uchaguzi wa 2030; nothing more nothing less than these. Hinginevyo, watanzania wanahitaji maisha yao yaendelee.
 
Tumia akili unajua kwanini JPM alijikita kujenga bwawa wakati tuliweza zakisha umeme kwa gesi ? Hii gesi tuliyo nayo tayali imesha fanyiwa ufisadi wa kimikataba tena kuna kipindi hadi mengi alizuiliwa kuwekeza kwenye gesi....JPM alijenga bwawa la umeme ili gesi iweze kutunufaisha maana angeshusha bei ya umeme kama alivyo sema kwa nusu ya bei ya sasa yaani sh elfu 10 unapata UNIT 56 tayari mafisadi ya gesi yangelazimika kushusha bei ya gasi kwa nusu ...ukishusha bei ya umeme kwa nusu ukataji miti ungekoma kwa sababu watu wangepikia majiko ya umeme badala ya mkaa hivyo kufanya kilimo chetu ku9ngezeka maana mvua vmzingekuwa za kutosha ...faida ya kushusha bei ya umeme kwa nusu ingekuwa kubwa sana kiuchumi...uchumi wetu ungepaa ...cha kushangaza serikali pumbavu ya samia bushiri ndiyo kwanza inataka kuingia mikataba ya kuuziwa umeme na ethiopia badala ya sisi kuuza umeme nje tunataka kuuziwa ...nikikuuoiza kwanini hadi leo tunashindwa kuuza umeme hata zambia na malawi unalo jibu ? Usije kusema miundo mbinu hakuna ya kuoeleka umeme huko maana kabla ya bwawa kuisha na kuanza kazi ilitakiwa tujenge hiyo miundo mbinu ili kuisha kwa bwawa kuanze na kuuza umeme moja kwa moja siyo kusubiri bwawa liishe ndiyo tunajiuliza umeme tunaufikishaje kwenye masoko yenye uhitaji ....samia bushiri ana akili
Uko sahihi, lakini kuna sehemu umechanganya mambo kidogo. Tz ni least developed country kama zilivyo nchingine zote Afrika chini ya jangwa la sahara. Uchumi ni mdogo sana kuweza kufanya vitu vingi simultaneously kama unavyotaka ingekuwa. Kujenga miundombinu kwenda Zambia, malawi sio gharama ndogo; kumbuka pia Tz inasambasa miundombinu ya umeme nchi nzima hadi kwenye ngazi ya vitongoji; tunahitaji fedha nyingi hapo. Kupunguza bei ya umeme katika stage hii ya build up itakukosesha fedha za kusambaza umeme. Unaweza kupunguza umeme pale watumiaji watakapokuwa wengi hadi vitongojini na umeme kutumika hadi vitongojini kuwasha taa, kuchomelea, kwenye kumbi za starehe, kwenye vipozeo, nk.

HIzi fedha za kudunduliza huwezi kuzitumia zote kwenye kusambaza umeme na kuacha kulipa watumishi, wanajeshi, afya, elimu, kilimo, mifugo nk.
 
Tumia akili samia mwenyewe ndiye aliye sema tumeshuka baadq ya yeye kushika nchi sasa tukusikilize wewe au yeye muhusika ...kuchelewa kujenga miundo mbinu ya umeme wa kibiashara ni upumbavu ..nisawa na kulimq shamba la heka 10 wakati hauna mbegu za kupanda heka 10 una mbegu za kutosha heka 2 tu.....MTU MWENYE UANITHI WA AKILI HAWEZI KUNIELEWA kwa sasa umeme unapotea bure wenye thamani kubwa ambao thamani yake ya mwaka inatosha kujenga hiyo miundo mbinu yote ...unajua tukiuza nje ya nchi asilimia 60 ya umeme wa bwawa la nyerere ni pasa ngapi ? Isijekuwa nabishana na zuzu
 
Wananchi: Tunataka tupate rais wa kuchaguliwa sio kurithi tu

Chawa: hata huyu alchuguliwa, si alikuwepo kwenye karatasi ya kupiga kura.

Wannchi: awamu yake imeisha tayari, aachie ngazi.
Chawa: Ndo anaanza sasa, pale alikuwa anatuvusha. Tunae hadi 2035.

Wananchi: huyu si awamu ya 5?
Chawa: hii ni awamu ya sita🤣.
Kila chama hakipangiwi mgombea wake na namna ya kumpata. Kule Kenya Laila Odinga anagombea kila uchaguzi, hapa kwetu Maalim Seif aligombea muda wote na mara zote; yaani mgombea wa uchaguzi anafahamika atakuwa nani kabla ya vikao. CCM wameshaamua kuwataja wagombea wao mapemaa kama vile CCM ilivyokuwa inafahamu kuwa mgombea wao ni Nyerere kwa miaka yote 27. Unadhani wakati Nyerere anatawala kwa miaka 27 mfululizo hawakuwepo wapingaji? Waliokuwa wanapinga waliishia wapi?. Mshukuruni Rais huyu ana akili nyingi, huruma, na mvumilivu sana.

Nadhani mama Samia ana kazi kubwa ya kuwazuia wahafidhina ndani ya CCM wanaojuwa CCM inafanyaga nini kwa wapingaji na wakora ndani ya chama. Kumbuka kuwa CCM ina utamaduni wake ambao haujaandikwa pahala popote unaomtaka mwenyekiti wa chama kuhakikisha kuwa kwa njia yoyote ile chama hakimfii mikononi mwake. Na hii ndiyo sababu wakamfanya Mwenyekiti wa CCM awe ndiye pia Rais wa nchi, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu. Kofia zote hizi anazo Mama Samia ila hataki kuzitumia kama vile watangulizi wake walivyokuwa wanazitumia dhidi ya wakora wa ndani ya chama.
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Kwa hiyo Kikwete ndo anataka kujifanya Nyerere?
Mtu ambaye ameshindwa kudhibiti mke wake na mtoto wake wote kawaingiza kwenye uongozi.
Unadhani Nyerere alishindwa kuwaingiza watoto wake au mke wake?
Nyerer alijua Taifa hili lina mamilioni ya watanzania haiwezekani mkatengeneza uongozi wa kifamilia kwa sababu tu ya influence aliyonayo baba.
 
Tumia akili unajua kwanini JPM alijikita kujenga bwawa wakati tuliweza zakisha umeme kwa gesi ? Hii gesi tuliyo nayo tayali imesha fanyiwa ufisadi wa kimikataba tena kuna kipindi hadi mengi alizuiliwa kuwekeza kwenye gesi....JPM alijenga bwawa la umeme ili gesi iweze kutunufaisha maana angeshusha bei ya umeme kama alivyo sema kwa nusu ya bei ya sasa yaani sh elfu 10 unapata UNIT 56 tayari mafisadi ya gesi yangelazimika kushusha bei ya gasi kwa nusu ...ukishusha bei ya umeme kwa nusu ukataji miti ungekoma kwa sababu watu wangepikia majiko ya umeme badala ya mkaa hivyo kufanya kilimo chetu ku9ngezeka maana mvua vmzingekuwa za kutosha ...faida ya kushusha bei ya umeme kwa nusu ingekuwa kubwa sana kiuchumi...uchumi wetu ungepaa ...cha kushangaza serikali pumbavu ya samia bushiri ndiyo kwanza inataka kuingia mikataba ya kuuziwa umeme na ethiopia badala ya sisi kuuza umeme nje tunataka kuuziwa ...nikikuuoiza kwanini hadi leo tunashindwa kuuza umeme hata zambia na malawi unalo jibu ? Usije kusema miundo mbinu hakuna ya kuoeleka umeme huko maana kabla ya bwawa kuisha na kuanza kazi ilitakiwa tujenge hiyo miundo mbinu ili kuisha kwa bwawa kuanze na kuuza umeme moja kwa moja siyo kusubiri bwawa liishe ndiyo tunajiuliza umeme tunaufikishaje kwenye masoko yenye uhitaji ....samia bushiri ana akili
Umeandika mengi lakini mpuuzi tu, punguza ushabiki wa mwanasiasa mmoja mmoja jikite kwenye hoja nzito.

Huwezi kushusha tu bei bila kutazama factors nyingi zinazohusiana na huo uzalishaji, epuka haya mawazo ya kijamaa ya hayati JPM yanakwenda yakipitwa na wakati.

Samia kaamua kuitazama dunia halisi na kutuambia ukweli ambao hatupendi kuusikia. Serikali inaposhusha bei maana yake inabidi ijibane yenyewe kwa faida ya unafuu wetu.

Ni lazima mmoja kati ya mzalishaji au mtumiaji azibebe hizo gharama, hazikwepeki. JPM alikuwa mjamaa mwenye sera zile zile za kijamaa, lakini kumbuka ukweli wa wasomi waliosema kwamba ujamaa hufa mara tu matajiri wanapoishiwa uwezo wa kuwatunza maskini.

Umeme kuununua kutoka Ethiopia ni kwa sababu ya gharama za kuufikisha kule Kaskazini kutoka mikoa ya mashariki ni kubwa na mwingi unapotelea njiani, na sio bei ghali kwetu kuununua umeme kwa ajili ya ukanda wa kaskazini peke yake, megawatt chache ambazo bei yake haiwezi kuumiza uchumi mkuu.
 
JPM alikuwa sio mhalisia, alikuwa mpenda sifa tu za bei rahisi. Unapunguza bei ya umeme lakini unashindwa kulipa watumishi wa umma ipasavyo, unashindwa kununua dawa na vitendea kazi maofisini. Unapunguza bei ya umeme halafu unakwenda kunyang'anya wafanyabiashara pesa zao ili ujenge reli, unapunguza bei ya umeme kisha unakwenda kuchukua fedha za mifuko ya hifadhi usambazie umeme, unapunguza bei ya umeme kisha unakwenda kukopa pesa yenye riba ujenge barabara.
 
Tutajie kwanza 2020 RIP JPM alipambana nanani ???

kwann nyinyi Wapinzani ndio mnataka kuwapangiwa CCM chakufanya ?.
Mbona unaanzia 2020 kwani Magufuli amegombea Urasi 2020 tu mbona hamsemi 2015?
 
usihamishe goli upande wa shuti lake linakoelekea. Katiba haisemi Samia anamalizia kipindi tu basi kisha anageuka kuwa mtu ambae hajawahi kuwa Rais.
 
Kama unayo hoja na unadhani ni hoja yenye manufaa kwa taifa na chama unaitoa tu hata kama nani yuko ndani ya mkutano au la. Ukiona mtu anaogopa kutoa hoja yake ujue kuwa hiyo hoja haiko sawasawa; ni majungu au hisia zake tu.

Siasa ni mkakati unaotumia mbinu mbalimbali. Usalama wa taifa upo kwaajili ya kumpatia taarifa Amirijeshi Mkuu wa majeshi na Mkuu wa nchi. Bila shaka kulikuwa na taarifa ya uwepo wa wakora ndani ya mkutano.
Tatizo lingine ndo ilo Mwenyekiti wa chama kua Amirijeshi ili pia ni tatizo
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Kwanza kubali nomination ya Samia ni batili.

Pili anzisha utaratibu wa kuomba kugombea urais upya.

Hapo utapata majina na wajumne watayachambua.

Unataka majina JF uyafanyie kazi gani kama Samia kakataa kurudia utaratibu wa kugombea urais?
 
usihamishe goli upande wa shuti lake linakoelekea. Katiba haisemi Samia anamalizia kipindi tu basi kisha anageuka kuwa mtu ambae hajawahi kuwa Rais.
Nani ambae hajui ule ulikua muendelezo wa awamu ya tano? Tuache unafiki Mama achukue fomu ashindanishwe na wengine Tatizo ni nini mbona Jambo dogo mnataka kulikuza kwa hiyo hataki ushindani na mazuri yote aliyofanya au tatizo nini?
 
Umeandika mengi lakini mpuuzi tu, punguza ushabiki wa mwanasiasa mmoja mmoja jikite kwenye hoja nzito.

Huwezi kushusha tu bei bila kutazama factors nyingi zinazohusiana na huo uzalishaji, epuka haya mawazo ya kijamaa ya hayati JPM yanakwenda yakipitwa na wakati.

Samia kaamua kuitazama dunia halisi na kutuambia ukweli ambao hatupendi kuusikia. Serikali inaposhusha bei maana yake inabidi ijibane yenyewe kwa faida ya unafuu wetu.

Ni lazima mmoja kati ya mzalishaji au mtumiaji azibebe hizo gharama, hazikwepeki. JPM alikuwa mjamaa mwenye sera zile zile za kijamaa, lakini kumbuka ukweli wa wasomi waliosema kwamba ujamaa hufa mara tu matajiri wanapoishiwa uwezo wa kuwatunza maskini.

Umeme kuununua kutoka Ethiopia ni kwa sababu ya gharama za kuufikisha kule Kaskazini kutoka mikoa ya mashariki ni kubwa na mwingi unapotelea njiani, na sio bei ghali kwetu kuununua umeme kwa ajili ya ukanda wa kaskazini peke yake, megawatt chache ambazo bei yake haiwezi kuumiza uchumi mkuu.
Baba yako aliuza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
 
Watu wanapinga mchakato. Hata akipitishwa Samia huyo huyo lakini utaratibu ufuatwe. Hatujadili wagombea, tunajadili mchakato ndio uliokiukwa.
 
JPM alikuwa sio mhalisia, alikuwa mpenda sifa tu za bei rahisi. Unapunguza bei ya umeme lakini unashindwa kulipa watumishi wa umma ipasavyo, unashindwa kununua dawa na vitendea kazi maofisini. Unapunguza bei ya umeme halafu unakwenda kunyang'anya wafanyabiashara pesa zao ili ujenge reli, unapunguza bei ya umeme kisha unakwenda kuchukua fedha za mifuko ya hifadhi usambazie umeme, unapunguza bei ya umeme kisha unakwenda kukopa pesa yenye riba ujenge barabara.
Ujamaa huwa unakufa kifo cha kawaida kwa sababu ni mfumo unaotegemea zaidi hoja za huruma kwamba binadamu wote ni sawa kuliko ule uhalisia kwamba kila mtu aliyekuja duniani na atumie vipaji vyake kutafuta riziki.
 
Back
Top Bottom