Kwani hujatazama zile video za huo mkutano; hata kama ungePenda kuwafanya wawe ni watu wenye heshima sana?kusema hivyo ni matusi kwa wajumbe wote wa Mkutano Mkuu. Usielekee huko kaka, unawakosea adabu. Maana yake chama ni dhaifu kwa kuwa na wajumbe dhaifu na waoga. Nitaluletea clip ya wajumbe wa mkutano mkuu waliopitisha uteuzi ule. Kwa maoni yako wajumbe wale wote hawaijui katiba na utamaduni wa chama ispokuwa wewe tu na wezako 3.
Hizi ndizo mbinu zenu (za GENGE), mlizodhani mtazitumia kuhadaa watu!
Mkutano ule, watu wanaruka ruka kila lisemwalo, huku wameshikilia mabango; ndio unaotaka watu waone kuwa mkutano wa maana sana wa kuiamlia nchi hatma yake?
Mkutano haukuwa na ajenda ya kumteua Mgombea, na wala taratibu za ngazi za mwanzo kuhusu swala hilo zilikuwa bado hazijatekelezwa; kwa maksudi mazima, swala zito namna hiyo, linachomekewa kinyemela kwenye mkutano; wakijuwa wajumbe wa mkutano watakuwa wamechanganyikiwa; hata wenye akili zao hawatapata nafasi ya kuhoji chochote.
Sasa wewe leo unakuja hapa kutaka tuwaone wajumbe kuwa watu wenye stahiki ya heshima?