MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Nitakuelimisha, nitatumia elimu yangu kwa manufaa ya watanzania wenzangu"Wewe na sayansi wapi na wapi? Mzoga unaovunda utaanzia wapi kujuwa sayansi ni kitu gani?
Unakuja kujiandikia tu haPa matakataka; sasa unasema ni sayansi?
Unajuwa 'chemical structure' ya starch (wanga)?
Mzoga. Tunachoma moto au tunafukia shimoni?Unataka ni hivyo hutaki ni hivyo. Nendeni CHAUMMA au chadema.
Wengi wapo wapi?Kwangu mm Samia is the best president ever.
Wengi wape bhana, kama unampinga mko wengi kuliko sisi tunaomuunga mkono basi tukutane kwenye kisanduku cha kura. Maana Kuna maisha hata baada ya uchaguzi.
EEEEeeeenHEEeeeeee!Nitakuelimisha, nitatumia elimu yangu kwa manufaa ya watanzania wenzangu"
View: https://youtu.be/YM4Lql0wJ0M?si=n3S-r_GnHKJvhi4q
View: https://youtu.be/wlhQCz5rWp4?si=mVbEJqsmpapnznYp
Najua umeelimika ila ubishi tu. Ugali na bongolala ni ndugu.EEEEeeeenHEEeeeeee!
Hii ndiyo sayansi uijuayo wewe?
Kweli kichwani huna kitu kabisa!
Hivi haPa unajiona kuwa umetoa bonge la ushahidi wa kisayansi kuhusu matumizi ya mahindi kama chakula?
Umeelewa kilicho zungumziwa kwenye video hizo?
Mkuu 'kavulata', labda nikujibu kwa heshima katika hili ambalo halihusu siasa kwa mara ya mwisho kabisa.Najua umeelimika ila ubishi tu. Ugali na bongolala ni ndugu.
SlowMkuu 'kavulata', labda nikujibu kwa heshima katika hili ambalo halihusu siasa kwa mara ya mwisho kabisa.
Hizo video ulizo weka haPo hakuna hata moja inayoonyesha ushahidi wowote wa utafiti wa kisayansi. Kama umewahi kwenda shule na kufanya utafiti wa kisayansi utaelewa ninacho kueleza.
Katika video zote mbili, hakuna chaisho lolote lenye kuonyesha matokeo ya kitafiti kuhusu ubora wa wanga unaotokana na hayo mazao mengine dhidi ya wanga unaoPatikana kutoka kwenye mahindi.
Wewe usiyejuwa chochote kuhusu sayansi huwezi kuelewa ushahidi unaotakiwa kulinganisha mazao mbalimbali kuonyesha ubora wa zao moja zaidi ya jingine.
Zaidi ya yote, rejea ulivyo wasilisha hoja yako kuhusu ulaji wa ugali wa mahindi na kuuhusisha na matokeo uliyo lenga wewe. katika video hizo hakuna hata moja inayozungumzia maswala hayo.
Kiufupi ni kuwa wewe akili yako haina tofauti yoyote na wanaoamini ushirikina.
Unajuwa watu wanatumia dawa za kienyeji, hata bila uwepo wa utafiti wa kisayansi kuonyesha zinavyo tibu magonjwa mbalimbali.
Hili halina tofauti yoyote na haya unayo weka haPa. Mimi nazungumzia kitu tofauti kabisa na unacho lenga wewe.
Tupo level mbili tofauti kabisa.
Sasa basi, usinianzishie hoja nyingine ya kutoziamini dawa zetu za kienyeji! Endelea kutumia wewe kama unaziamini bila kujuwa ni kipi hasa kinakuponyesha ndani ya dawa hizo. Sayansi inaniruhusu nidadisi zaidi ya kuamini tu kama unavyo fanya wewe na kuna taratibu za kufanya hivyo; hiyo ndiyo sayansi.
Mwisho: Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaoonyesha kwamba kula ugali wa mahindi kunaathiri uwezo wa binaadam kuwa na akili kama walizo nazo binaadam wengine wowote kote duniani ambao hawatumii chakula hicho.
Sasa najuwa wewe ni mtu wa ngazi gani kifikra.
Na nchi inaingia gharama kubwa ya uchaguzi ambao ni hewa. Kweli? Basi tuwe na uchaguzi kila baada ya miaka 10Hv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Sio hewa walahi, ilikuwaga hivihivi tu miaka yote tangu UhuruNa nchi inaingia gharama kubwa ya uchaguzi ambao ni hewa. Kweli? Basi tuwe na uchaguzi kila baada ya miaka 10
Wewe nenda katengenezewe simu Yako na hilo basha lako la Kenya. Usitake kuiletea nchi aibu.Sio hewa walahi, ilikuwaga hivihivi tu miaka yote tangu Uhuru
View: https://youtu.be/-R1M_Woz538?si=7IFkEg8hyu2xqyEJ
Usifanye mzaha na mambo usiyo yaelewa; kama unavyofanya na siasa za kipumbavu kabisa za Samia Suluhu Hassan na GENGE lenu.Slow
Samia Suluhu Hassan ndiye mtu wa kwanza "kujiteua kuwa mgombea wa chama" akitumia GENGE lake kulazimisha chama ambacho wamekiteka wenyewe na kukitumia kama ngao yao kuhadaa waTanzaniaSio hewa walahi, ilikuwaga hivihivi tu miaka yote tangu Uhuru
Hv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Mm Nazungumzia uchaguzi ndani ya ccm na sio uchunguzi hizi za tume.Na nchi inaingia gharama kubwa ya uchaguzi ambao ni hewa. Kweli? Basi tuwe na uchaguzi kila baada ya miaka 10
inasikitisha sanaHv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Lowassa alipoona CCM imemuonea akaenda chadema, Membe alipoona CCM haikumtendea haki alitimkia ACT, Dkt Slaa aliponyimwa nafasi kule CCM alitimkia chadema, na wengi tu. Hata wewe na wenzako wanaoona CCM imeboronga au haikuwatendea haki njia waliopitia wenzenu bado iko wazi, timkieni huko mkaishinde CCM yenye "mgombe dhaifu". Kelele kama wanawake ni zanini? Jana tulizindua uranium, leo tunazindua bandari ya kwara; nyie endeleeni na endless lawana tuacheni tuajngee nchi kazi ambayo mlishindwa. Hapo Dar sasa panang'ara, au hamuoni?Samia Suluhu Hassan ndiye mtu wa kwanza "kujiteua kuwa mgombea wa chama" akitumia GENGE lake kulazimisha chama ambacho wamekiteka wenyewe na kukitumia kama ngao yao kuhadaa waTanzania
Njama hizo zimegundulika ndani ya chama; na wanachama sasa wanadai chama chao. Swali ni je, GENGE litakiachia chama?
Sitegemei jibu toka kwa mzoga aitwaye 'kavulata'.
Unapo elezwa na kujifanya huelewi kinacho elezwa ndiko kunakokufanya uonekane MZOGA halisi kabisa.Lowassa alipoona CCM imemuonea akaenda chadema, Membe alipoona CCM haikumtendea haki alitimkia ACT, Dkt Slaa aliponyimwa nafasi kule CCM alitimkia chadema, na wengi tu. Hata wewe na wenzako wanaoona CCM imeboronga au haikuwatendea haki njia waliopitia wenzenu bado iko wazi, timkieni huko mkaishinde CCM yenye "mgombe dhaifu". Kelele kama wanawake ni zanini? Jana tulizindua uranium, leo tunazindua bandari ya kwara; nyie endeleeni na endless lawana tuacheni tuajngee nchi kazi ambayo mlishindwa. Hapo Dar sasa panang'ara, au hamuoni?
Kinachokutia kiburi ni kujidanganya kwamba mnao ma-'Rear Admiral' na Majenerari wengine uliodiriki kutuonyesha hapa.Kelele kama wanawake ni zanini? Jana tulizindua uranium, leo tunazindua bandari ya kwara; nyie endeleeni na endless lawana tuacheni tuajngee nchi kazi ambayo mlishindwa. Hapo Dar sasa panang'ara, au hamuoni?