Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Wamejazwa ujinga sana..pole yao..dini yao imewafanya wawe watumwa wa kiakili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hujawahi kuwa na hoja zaidi ya upuuzi..nadhani ndio mafundisho yenu makuu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sema mimi kilaza siwezi kujifunza lugha yoyote zaidi ya kuzaliwa. Wenzako kibao wanajifunza na wanaelewa.
Hiyo biblia ambayo unayosomewa ilitafsiriwa na King James kwenda kingereza. Hiyo ya asili haijulikani ipo wapi.
Zimebadilishwa nyingi na documentary zipo kibao.
Kwa hiyo jiwe jitahidi na vihoja vyako vya kitoto, utawadanganya mazezeta wenzako kama wewe ambao hata biblia hamujui hata kidogo bali mnapelekwa kama ng'ombe.
 
Hanithi mbona husomi physics kiswahili ndo maana unafeli 😅😅😅 chemistry, ulisoma lin kiswahili hayo masomo
Huku wameshindwa kutafsiri kwenda kiswahili. Utasema wajerumani waliojifunza kwa kijerumani watafeli physics? Hiyo haina mantiki.
Huku kuna maprofesa tena mawaziri na kuzungumza kingereza vizuri hawezi na wamesoma nje.
 
Waislam kibao tena sio wewe muislam jina unatukana ovyo, mashehe lukuki wanaenda kwa Mwamposa kama unabishana nenda kawaulize maimamu wenzako huko msikitini wakupe ukweli.
 
Hili nakataa kwa asilimia mia, makundi hayo yapo lakini hata matajiri wanaosali pale wapo pia, ndio maana Ile parking ya magari Kuna maV8 mpaka marenji
 
Ewe mgalatia usio na akili ni nani alikuroga?
 
Kutafsiriwa ndio kubadilishwa maana..nadhani hata shule hujaenda zaidi ya kuaririshwa kiarabu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…