Duh,watu mnataka mwolewe nyinyi nn,... Mbona mna roho ya chuki na husda,..nyie ndo maana diamond anawaita vichupi kunuka,.. Amnaga kazi za kifanya, mnawashwa afu wote wanaume aseeehh!!!
amuoe Hamisa mabetto kwa kuwa kafikia hatua hata ya kumzalisha ni dhahiri anampenda
Duh!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Kwani uzee ni umri au muonekano wa mtu?hata hyo hamisa ana utoto gn?kuna wasichana wana umri mdogo lakini washazeeka....wacha zako...zari ni umri huo huo tu wakawaida....tatizo hao akina mobeto kila siku umri wao hausogei..tangia 2013 ana 24 hadi leo umri bado unasomeka huo huo...Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Mtu akisema huyu ni mwanaume wa dar atakuwa katukosea sana sisi wengine.... Kuna vitu huwa haviingiliwi haswa maswala ya mapenzi.... Bila shaka lipo unalolitafuta ama unakaundugu kidogo na HM mana si kwa kuponda huko. Jielewe tafadhali pambana na hali yakoHuyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji108] [emoji108] [emoji108] ahsante kwa dongo kwa wote wanaodiscuss maisha ya diamond ili hali yao yamewashindaMmh mzee unamuona wewe.
Naamini nikikuweka wewe na Zari, wewe ndio
Utakuwa mzee.
Mwambie Hamisa atafute baba wa huyo
Mtoto
Unajinsia gn?
Akikujibu fanya kuntag.
-Ndumilakuwili-
Litakuwa shga tu hilo, mwanaume kamili Hawezi kuleta post kumuongelea mwanaume mwezake.Unajinsia gn?