Wanaosapoti Diamond kuendelea kuishi na Mzee badala ya kuchukua kijana wanapaswa kushangaliwa

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
 
Duh,watu mnataka mwolewe nyinyi nn,... Mbona mna roho ya chuki na husda,..nyie ndo maana diamond anawaita vichupi kunuka,.. Amnaga kazi za kifanya, mnawashwa afu wote wanaume aseeehh!!!

amuoe Hamisa mabetto kwa kuwa kafikia hatua hata ya kumzalisha ni dhahiri anampenda
 
Wewe naye unamuita Mzee wewe sio Mzee pia.. umejaa wivu mbaya sana wewe binadamu. Unalazimisha awe baba wa huyo mwanamke eeeh kama vile ulimfungua miguu yake wakatenda. Unatia aibu na jisikitikie... Naseeb kwa Zari amefika.. kama unaona huwezi kuvumilia kipige vibao vya usoni na ulie na kusaga meno. Unamuonea wivu Zari kwani maisha yako alikuchagulia yeye ya kutopaa!? Kituko
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Kwani uzee ni umri au muonekano wa mtu?hata hyo hamisa ana utoto gn?kuna wasichana wana umri mdogo lakini washazeeka....wacha zako...zari ni umri huo huo tu wakawaida....tatizo hao akina mobeto kila siku umri wao hausogei..tangia 2013 ana 24 hadi leo umri bado unasomeka huo huo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Mtu akisema huyu ni mwanaume wa dar atakuwa katukosea sana sisi wengine.... Kuna vitu huwa haviingiliwi haswa maswala ya mapenzi.... Bila shaka lipo unalolitafuta ama unakaundugu kidogo na HM mana si kwa kuponda huko. Jielewe tafadhali pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom