tanmoc
Member
- Jul 23, 2016
- 99
- 131
Una jinsi gani? Haya mambo yao ya chumbani ww unawapangia. ..! Pambaneni na hali zetu ..!Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Sent using Jamii Forums mobile app