Wanaosapoti Diamond kuendelea kuishi na Mzee badala ya kuchukua kijana wanapaswa kushangaliwa

Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Una jinsi gani? Haya mambo yao ya chumbani ww unawapangia. ..! Pambaneni na hali zetu ..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha aende na mafuta ya mgando pia asisahau kuyaaga marinda yake maana hataonana nayo tena.Anayependa marinda yake, ila diamond anayapenda zaidi
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.

Kwa ni ni watu wazima na matatizo yenu kibao, mnaacha kuzungumza masuala yanayojenga, yenye tija katika maisha yenu ama jamii, mnakaa kuzungumzia maisha na personalities za watu wengine?

Huku ni kukosa kazi, ama ni akili fupi?

Wewe nani alikuchagulia ulilyenaye? Kama kwenu mnaishi na watu kwa kura za kijiji, ni kwenu na siyo sheria ya dunia nzima. Msitake watu wote waishi vile wewe unataka. Kama unamtaka aliyezaa karibuni, mchukue wewe!.

Tumechoka, Diamond, Diamond. Zari Zari!. Ningekusifu ungewafuatilia siri za mafanikio yao katika maisha na si kuwafuatila mahusiano na personalities zao. Inaonekana unatatizo walilonalo mawaziri wa serikali ya Raisi Magufuli.

Kwa mtu wa kawaida tu hata kama ni mtu wako wa karibu kakuomba ushauri, na kama una akili timamu, huwezi kumshauri huyo mjukuu wangu Diamond amwache Zari kwa ajili ya Hamisa. Hamisa ni msichana wa kuoa?

Ukimpenda sana mchukue wewe ukae naye lakini si kupoteza muda hapa na kampeni za kiccm. PERIOD!
 
Ikiwa Haya ndio yaliyogandana kwenye bongo za vijana wetu basi taifa lina upungufu mkubwa wa akiba za vijana....

Inabidi vijana wa kichina waje kwa wingi ili kuziba hilo gape......
283da40dd83c8ff2b373f3a1200f94c5.jpg
 
Kwa ni ni watu wazima na matatizo yenu kibao, mnaacha kuzungumza masuala yanayojenga, yenye tija katika maisha yenu ama jamii, mnakaa kuzungumzia maisha na personalities za watu wengine?

Huku ni kukosa kazi, ama ni akili fupi?

Wewe nani alikuchagulia ulilyenaye? Kama kwenu mnaishi na watu kwa kura za kijiji, ni kwenu na siyo sheria ya dunia nzima. Msitake watu wote waishi vile wewe unataka. Kama unamtaka aliyezaa karibuni, mchukue wewe!.

Tumechoka, Diamond, Diamond. Zari Zari!. Ningekusifu ungewafuatilia siri za mafanikio yao katika maisha na si kuwafuatila mahusiano na personalities zao. Inaonekana unatatizo walilonalo mawaziri wa serikali ya Raisi Magufuli.

Kwa mtu wa kawaida tu hata kama ni mtu wako wa karibu kakuomba ushauri, na kama una akili timamu, huwezi kumshauri huyo mjukuu wangu Diamond amwache Zari kwa ajili ya Hamisa. Hamisa ni msichana wa kuoa?

Ukimpenda sana mchukue wewe ukae naye lakini si kupoteza muda hapa na kampeni za kiccm. PERIOD!

Mkuu ningekuwa na uwezo ningevifomat vichwa vya vijana wote....
 
Wanavuta muda maana Kiba hatoi ngoma kipaji kimekwisha. Ni muda wao kujifariji.
 
Bibi ni mwanamke anayemzaa mama ako. Sasa mtoa mada una maanisha zari anaweza mzaa mama yako?

Ebu muda mwingine tufikirie nje ya box
 
Kweli kaka jitu linakaribia menopause bado anang'ang'ana nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni uongo. Angekuwa unakaribia menopause angezaa?

Zari deserves what is best for her na sio watu kumaliza. So long as diamond find his peace in her then let them enjoy.

Hata kama ni kweli kamzalisha hamisa kipi cha ajabu?

Hata Magu alishasema kwa maisha ya kiafrika mume kuwa na wake 4 wa 5 sio ishu ama kuwa na watt 20, 30 sio ishu. Achen zenu.

Zari is.matured enough to.know sio mumewe tu wa kwanza kuzaa nje ba wala hata kuwa wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wazee.
Mmoja Mzee wa umri.
Mwingine Mzee wa tabia.
Acha wapendane
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.

Huyo unayesema aliyezalishwa na Diamind ana ujana gani?, Diamond kamkuta Zari ana watoto, na huyo unayemsema (kama ni kweli) nae pia kamkuta na mtoto, kama unavyomwita Zari ni Mtalaka wa Ivan, pia Huyo unayemsema ni Mtalaka wa Mtu
 
Back
Top Bottom