Tatizo letu waswahili ni umbea,husda,unafiki na fitina,watu wako na mapenzi yao,hawaombi chochote kutoka kwako wewe inakuhusu nini kifuatilia mapenzi yao,afu ukute ni mtoto wa kiume.Akili za kimasikini hizo,acha watu waishi watakavyo na wewe ujishuhulishe na vinavyokuhusu.
Au ulitaka uwekwe wewe ndani.
Mbona mama yako mzee lakini yupo tu na baba yako?Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Mimi anipe mamaake aone kama sinta mbokowa.Yaani kuna mijitu humu haifahi hata kuwepo kwenye jukwaa la wasomi Kama hili, yaani huu upumbavu na mawazo yako sijui umefikili kwa kutumia nini unatuletea hapa. Nyambavu kabisa wapi wamesema mkubwa hawezi ishi na mdogo? Hebu pelekeni ujinga huu facebook kwa la saba wenzenu sio hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app