Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Kama wewe ni landlord kwa nini unapotosha wenzako?
Mimi naongea facts, siongei blah blah.
Nimerithi nyumba na ardhi. Nyumba ni headache na nimekatazwa na ukoo kuiuza.
Nyumba inaleta heshima kwa utamaduni wetu.

Kama heshima kwa jamii ingeweza kuwekwa thamani yake kifedha labda.
Ila huwezi.

Viwanja vina thamani inayokua. Hata by looking at the population increase. Mapori mengi ya miaka 15 iliyopita Sasa ni miji.

Nyumba haiongezeki thamani. Huo ni ukweli wa kimahesabu siyo hadithi njoo .
Huwezi kupigiana hesabu za nyumba ukanipa faida above interest rate ya Benki kuu.

Ukitaka tupigiane mahesabu hapa.
 
Nenda ukanunue nyumba ndiyo utaelewa kama zinaongezeka dhamani au la
 
Sehemu yeyote ile.
Hivi kipi cha ajabu hapo?
Ardhi inapanda thamani, nyumba inashuka thamani.
Tumia uwiano mzuri ili ujenge nyumba kwa kutumia ardhi badala ya kutumia ardhi kujenga nyumba.
Umeshawahi kununua viwanja popote? Waulize walionunua Chato kwanza kabla hujajibu hapa, au kama ni mkazi wa Dar, kaongee na walionunua Kigamboni kisha ndo ujibu!
 
Mimi naongea facts, siongei blah blah.
Nimerithi nyumba na ardhi. Nyumba ni headache na nimekatazwa na ukoo kuiuza.
Nyumba inaleta heshima kwa utamaduni wetu.

Kama heshima kwa jamii ingeweza kuwekwa thamani yake kifedha labda.
Ila huwezi.

Viwanja vina thamani inayokua. Hata by looking at the population increase. Mapori mengi ya miaka 15 iliyopita Sasa ni miji.

Nyumba haiongezeki thamani. Huo ni ukweli wa kimahesabu siyo hadithi njoo .
Huwezi kupigiana hesabu za nyumba ukanipa faida above interest rate ya Benki kuu.

Ukitaka tupigiane mahesabu hapa.
You have a point. Kuna nyumba zile za zamani juzi imenunuliwa 250m. Hio nyumba yaani jengo halina hata thamani ya 15m kilichonunuliwa pale ni eneo.
 
Umeshawahi kununua viwanja popote? Waulize walionunua Chato kwanza kabla hujajibu hapa, au kama ni mkazi wa Dar, kaongee na walionunua Kigamboni kisha ndo ujibu!
Walionunua Kigamboni wana hasara gani au nini kimewapata? Mimi nilinunua hapa nilipo 800sqm 1.5m sasa hivi kuna jirani yangu kakata eneo lake kubwa anauza 400sqm kwa 10m na kabakisha viwili tu kimoja nimetaka kuuziwa 7m kagoma.
Kibada kule ambako Leo wanauza viwanja 20-30m watu walinunua 1.5-3m tu
 
Kuna nyumba kuu kuu juzi jzui imenunuliwa kwa 250m mitaa ya uswahilini. Lile jengo halina hata thamani ya 15m hapa ni wazi eneo ndio limenunuliwa na jamaa kaipiga chini hio nyumba kainua ghorofa.
Unamanisha nini
 
Nitamwambia 1970s, laki 1 = 5 billion in 2022.

Watu wenye hela hawataki kujenga. They keep cash. Masikini wamekomalia kujenga kujenga wakati hawajui watakula nini kesho!!
Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?

Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
 
Mambo mengine yasikie tu nyuma ya keyboard. Nilinunua viwanja sehemu fulani. Sina mpango wa kujenga kwa sababu ni nje ya mji na majirani hawajajenga bado. Kila mwaka nalipia kodi. Ni upotevu wa pesa zangu. Kama una pesa weka benki ama fanya biashara. mambo ya kununua viwanja eti vitapanda bei ni biashara kichaa.
Buy land, then wait.
 
Walionunua Kigamboni wana hasara gani au nini kimewapata? Mimi nilinunua hapa nilipo 800sqm 1.5m sasa hivi kuna jirani yangu kakata eneo lake kubwa anauza 400sqm kwa 10m na kabakisha viwili tu kimoja nimetaka kuuziwa 7m kagoma.
Kibada kule ambako Leo wanauza viwanja 20-30m watu walinunua 1.5-3m tu
Huko Kigamboni, nilinunua eneo kwa mil. 1 na laki 3 mwaka 2011... nikaliuza mil. 12 mwaka 2015, yaani miaka mi 4 tu baadae.

Nina viwanja vingine huko huko Kigamboni nilikuwa sijavitembelea muda mrefu, na nilikuwa na mpango wa kuviuza.

Juzi kati nimetokea pande hizo, asee maendeleo niliyoyakuta nimeghairi kuuza kwa sasa! Kigamboni Inakuja juu vibaya mno!
 
Mambo mengine yasikie tu nyuma ya keyboard. Nilinunua viwanja sehemu fulani. Sina mpango wa kujenga kwa sababu ni nje ya mji na majirani hawajajenga bado. Kila mwaka nalipia kodi. Ni upotevu wa pesa zangu. Kama una pesa weka benki ama fanya biashara. mambo ya kununua viwanja eti vitapanda bei ni biashara kichaa.
Hakuna kitu Cha hovyo kama kuweka hela Benki.
Kiwanja kitapanda thamani, tatizo ni subira.
Wewe subiri na endelea kulipia kodi. Kitapanda thamani.
Nyumba haipandi thamani na inalipiwa kodi pia.
 
Back
Top Bottom