Hii thread mmenifungua akiliNdio maana huyo jamaa akaulizwa hiyo nyumba anayopangisha iko wapi???????? Katika real estate, suala la location lina matter sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii thread mmenifungua akiliNdio maana huyo jamaa akaulizwa hiyo nyumba anayopangisha iko wapi???????? Katika real estate, suala la location lina matter sana
Nakuelewa saana mzeeNimesoma mtiririko na kuuelewa vyema, kuna watu tu wanajaribu kujitia ujinga, ukiacha prime locations za Dsm, mikoa karibu yote kupanga ni cheap. Kwa laki 3 unapata nyumba nzuri kabisa karibu na mjini mikoani. Swali linakuja, je hii ni biashara nzuri au unatunza kiwanja ?
Kwa laki 3, kwa miaka kumi utakuwa na 36m haujaweka maintainance wala miezi ambayo nyumba itakuwa wazi. Kwa lugha rahisi unarudisha pesa yako baada ya miaka 10 na bado hujaonja faida. Kiuhalisia hapa ulikuwa unatunza kiwanja chako, hii sio biashara. Kuna biashara chungu nzima ambazo ndani ya 24months unarudisha mtaji wako na nakuanza kula faida.
Wazee wengi wa zamani walikuwa wanajenga ovyo ovyo nyumba za kupangisha kama biashara hadi mikoani huko sababu financial knowledge haikuwa kubwa, kama utaamua kufanya makosa ya kizee na ww ingia kwenye biashara ya real estate kwenye location ambayo sio prime location Dsm.
Msamehe tu, huyo jamaa inabidi utenge muda haswa wa kumuelewesha.Trump anajenga kwenye prime location pia hatumii cash kujenga, ni mkopo wakati watz wanadunduliza savings zao kwa ajili ya kujenga kwa miaka.
Hivi mtu anaetoa 500m Kariakoo anaunua zile mbavu za mbwa au eneo?! Mbavu za mbwa si angejenga mwenyewe huko Mbande! Pale ananunua eneo mbona ni kitu rahisi kueleweka?Unaelewa maana ya location ktk mjadala huu?
Huyo aliyejenga nyumba kariakoo mwaka 1970 saizi umemuona yupo katika hali gani? nyumba tunajenga kama security ya maisha tu kwamba ikitokea siku huna ajira basi usishindwe kulipa kodi ukae kwako. Kama sio mfanyabiashara ukijenga nyumba umefukia pesa shimoni. Unajenga nyumba ya milion 70 mpangaji analipa kodi sh laki 2. mpaka ije irudi pesa uliyoifukia hapo ni miaka 20 ijayo baada ya hiyo miaka 20 nyumba yako inaonekana kama kibanda cha mganga wa kienyeji. Wafanyabiasha wanajenga nyumba wanaenda benk wanakopea mzigo wa maana wanauzungushia ndani ya muda mfupi wanapata faida kibao kodi za wapangaji ndo marejesho ya mkopoWanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
Mtu aliye serious na biashara inayofanya uweze kulipa 2M per month kama kodi ya nyumba atakula kukosa sehemu ya kuishi at 55 yrs??? Labda akosee mahala.Rudi na haya mawazo ukiwa na 55 years old
Nimesoma mtiririko na kuuelewa vyema, kuna watu tu wanajaribu kujitia ujinga, ukiacha prime locations za Dsm, mikoa karibu yote kupanga ni cheap. Kwa laki 3 unapata nyumba nzuri kabisa karibu na mjini mikoani. Swali linakuja, je hii ni biashara nzuri au unatunza kiwanja ?
Kwa laki 3, kwa miaka kumi utakuwa na 36m haujaweka maintainance wala miezi ambayo nyumba itakuwa wazi. Kwa lugha rahisi unarudisha pesa yako baada ya miaka 10 na bado hujaonja faida. Kiuhalisia hapa ulikuwa unatunza kiwanja chako, hii sio biashara. Kuna biashara chungu nzima ambazo ndani ya 24months unarudisha mtaji wako na nakuanza kula faida.
Wazee wengi wa zamani walikuwa wanajenga ovyo ovyo nyumba za kupangisha kama biashara hadi mikoani huko sababu financial knowledge haikuwa kubwa, kama utaamua kufanya makosa ya kizee na ww ingia kwenye biashara ya real estate kwenye location ambayo sio prime location Dsm.
Huyo aliyejenga nyumba kariakoo mwaka 1970 saizi umemuona yupo katika hali gani? nyumba tunajenga kama security ya maisha tu kwamba ikitokea siku huna ajira basi usishindwe kulipa kodi ukae kwako. Kama sio mfanyabiashara ukijenga nyumba umefukia pesa shimoni. Unajenga nyumba ya milion 70 mpangaji analipa kodi sh laki 2. mpaka ije irudi pesa uliyoifukia hapo ni miaka 20 ijayo baada ya hiyo miaka 20 nyumba yako inaonekana kama kibanda cha mganga wa kienyeji. Wafanyabiasha wanajenga nyumba wanaenda benk wanakopea mzigo wa maana wanauzungushia ndani ya muda mfupi wanapata faida kibao kodi za wapangaji ndo marejesho ya mkopo
Hilo kundi la bata ndio huwa na tabia ya kuwapotosha wenzao na kuwakatisha tamaa kujenga ni kuzika pesa ilihali amepanga nyumba mjini vijiroom 2 anajibana hapo na watoto 3 na beki tatu juu na analipa kodi na inamuumiza kichwa.Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
Unakuta mtu ni kijana wa 25-35 yrs ana 7M eti anaweza kujenga, huo sip upuuzi wa kukariri maisha??
Kwanini usipange nyumba hâta ya 200K per month (kulingana na hiyo hela), kisha inayobaki ukiingiza katika mpango kazi??
Unakuta hiyo 7M anaitupia kwenye ujenzi yote inaishia kwenye msingi kisha anaanza kuitafuta 7M nyingine kwa miaka hâta SITA maana kazini analipwa 300K au 400k (kabla haujakata hela za matumizi binafsi)
😂😂😂Acheni mawazo ya kijinga, hivi mtu unajengaje njiani wakati duniani tunapita..!!
By the way, Jesus alienda kutuandalia makao mbinguni kwa baba.
Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
Hakuna anayekatazwa asijenge mkuu! Kujenga sawa jenga lakini, suala linabaki pale pale Ardhi na Nyumba kinachoongezeka thamani ni Ardhi na sio nyumba elewa hilo ... !Unaweza kuitunza aridhi ya mikocheni ikiwa tupu bila kuendelezwa kwa miaka 5?
Hao wanaopata shida, wanaipata sio kwakua wamepanga bali ni sehemu walizopanga.Kiufupi nilifikia uamuzi wa kujenga kutokana na kero za kupanga ,wanaopanga wananielewa nachomaanisha hapa,i wish nikitoka kazini nikapumzishe akili nyumbani kwangu.
Alaf sio kila anaejenga hana viwanja vingine tunavyo sana na hatulipwi hio hela ya mbuzi uliyotaja hapo
Yes hiyo suo nyumba ya kuishi mkuu ..jaribu kuelewa .. nyumba yako ya kuishi haikuingizii pesaaa,Muda huu Donald Trump anajenga the tallest bulding in the world
Watabisha sio kwasababu hawaelewi au wana point za maana, ila watabisha kwasababu hawataki kushindwa.Hakuna anayekatazwa asijenge mkuu! Kujenga sawa jenga lakini, suala linabaki pale pale Ardhi na Nyumba kinachoongezeka thamani ni Ardhi na sio nyumba elewa hilo ... !
Mtu anapo nunua kiwanja chenye nyumba ya udongo pale kariakoo kwa billion kadhaa anacho nunuwa pale sio ongezeko la thamani ya hio nyumba bali ni kiwanja !
Nyumba na Gari hivi vyote kwa aslimia kubwa ni liability tu na sio asset..