Wanaosema kwamba Israel ilipora ardhi ya Palestina Wapitie hapa, watu walirudi kwao kuishi kwenye ardhi ya babu zao iliyoporwa kimabavu

WANAFUATA HISTORIA YAO NA VIZAZI VYAO ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA kuwa lile ndio eneo walilopewa, pale ndo kuna identity yao, pale ndo kuna baraka zao lakini pia pale ndo wamelala mababu zao... wao kujijenga maeneo mengine wangeishia kuwa tu kabila au jamii ndogo lakini wasingekuwa TAIFA, hivyo wasingekuwa na nguvu yoyote. so kilichoearudisha ni historia na maagano yao na mungu wao kwa mababu zao.
 
SOMA YOTE UJIFUNZE
kwa hisani ya Biblia, chatgpt, google + MAONI YANGU

The name "Palestine" is derived from the term "Philistine." The Romans used the name "Judea" to refer to the region in antiquity, but after the Jewish-Roman Wars in the 2nd century, they changed the name to "Palaestina" as a way to erase Jewish historical connections to the land.
SO, ZAAKA ZA KAZI KWA HILI AMEKUWA SAHIHI.
Kuhusu uhusiano kati ya wafilisti wa zamani na wapalestina wa sasa,

Geographical Overlap: The ancient Philistines were an ancient people who lived in the region of Philistia, which is roughly equivalent to the southern coastal area of modern Israel and the Gaza Strip. The Palestinians primarily inhabit the same geographic area today.
Ethnic and Historical Differences: The modern Palestinian people have diverse ethnic backgrounds, and many are descended from various groups that have lived in the region over centuries, including Arabs, Canaanites, and others. The Philistines, on the other hand, were an ancient Aegean people who arrived in the region around the 12th century BCE.
In summary, while there is a connection in terms of the name "Palestine" and the geographical overlap, the modern Palestinian people are not considered a direct continuation of the ancient Philistines. They have different ethnic, cultural, and historical backgrounds, and the Palestinian identity has developed over time based on various influences and factors.

KWA HIZI POINTS, inaonesha Wafilisti ni muingoni mwa jamii zilizoishi maeneo hayo, ila muingiliano wa jamii nyingi kama wakaanani, waarabu na hao wafilisti ndo kumezaa kizazi hichi cha taifa la palestina ya sasa, kwahyo palestina hii ni sehemu ya wale wafilisti na wakaanani wa kale ambao ardhi yao Mungu aliwapa Ibrahim, Isaka na yakobo na kukawa na vita za mara kwa mara ,
waarabu walikuja baadae baada ya kuitawala hyo ardhi wakaacha chotara zao hapo.
KWA Hiyo hawa wapalestina babu zao upande wa wafilisti na wakaanani ni kweli ardhi ilikuwa yao, ila Mungu Muumba Mbingu na Ardhi aliwakasirikia wazee hawa kutokana na upagani wao, ibada za sananu na kufuru nyingi walizokuwa wanafanya, hivyo Mungu aliwapa ardhi hii ambayo iliitwa nchi ya maziwa na asali ukae uzao wa mcha MUNGU wake Ibrahim,baba wa Isaka baba wa Yakobo (Israel). Kosa tu walilolifanya waisrael ni kutowaua wakazi wote wa eneo lile ili waishi kwa amani na badala yake wakageuka mwimba kwa vizazi vyote vya israel.

HIVYO , ARDHI HII NI HALALI KWA WA ISRAEL, HATA HAYO MAENEO MACHACHE WANAYOKAA WAPALESTINA WANAKAA KIMAKOSA, MUNGU ALIWAPA KOTE HUKO WAISRAEL. HVYO WAPALESTINA WAKAE KWA KUTULIA KWENYE ARDHI YA WANA WA ISRAEL MAANA BABU ZAO WALIMTENDA MUNGU KUFURU NYINGI HVYO WALIAMRIWA WAUAWE ISIACHWE HATA KUNGUNI YA BABU ZAO, HURUMA ZA WAISRAEL NDO ZIMEWAWEKA HAI,

Historia unayohadidhia inafuata baada ya hii ya kibiblia ambao ndio msimamo wa waisrael


  1. Historical and Religious Ties: Many Jews view the land of Israel (including the West Bank and Jerusalem) as their ancestral homeland, with deep historical and religious significance. This connection is based on the biblical narratives of the Hebrew Bible (Old Testament) where the land of Canaan was promised to the descendants of Abraham, Isaac, and Jacob.
  2. Zionism: The Zionist movement, which sought to establish a Jewish homeland in Israel, was influenced by these biblical narratives. The establishment of the modern State of Israel in 1948 is seen by many Jews as a fulfillment of biblical prophecies and a return to their ancestral land.

HIVYO BASI nawasihi waarabu kama wanawaonea huruma wapalestina wawachukue wakae nao uarabuni maana kabla ya wao kuitawala ile ardhi hapakuwa na mwarabu, hvyo wabebe wajukuu zao wawarudishe nyumbani damu zao, ila ile ardhi ni halali musirael aipiganie. (HII TABIA YA WAARABU KUAACHA MBEGU KILA WANAPOTAWALA IMEKUWA CHANGAMOTO NDO MAANA KULE ZENJI WANAITWA WAJOMBA ZAO)
"(With reference to Palestinians in Ottoman times) Although proud of their Arab heritage and ancestry, the Palestinians considered themselves to be descended not only from Arab conquerors of the seventh century but also from indigenous peoples who had lived in the country since time immemorial, including the ancient Hebrews and the Canaanites before them. Acutely aware of the distinctiveness of Palestinian history, the Palestinians saw themselves as the heirs of its rich associations." Walid Khalidi, 1984, Before Their Diaspora: A Photographic History of the Palestinians, 1876–1948.

Pia huu mgogoro hauwahusu waislam kabisa, maana hakuna mahali historia imewataja, TUKUMBUKE UISLAM ULIKUJA BAADA YA KRISTO (A.D) ILA HAWA WAYAHUDI NA MAPAGANI WA KIFILISTI NA KIKAANANI WALIKUWEPO HAPO B.C kwahyo waislam nyie tulieni acheni mahasimu hawa wapigane vita vyao,Msikiti na kanisa vinajengwa popote, mpaka kwenye viwanja vyenye migogoro, kwahyo uwepo wa msikiti usifanye ionekane ni ardhi ya waislam kihalali.
Kwa wakristo wenye imani, maandiko yanasema ATAYEMBARIKI ISRAEL ATABARIKIWA NA ATAYEMLAANI ATALAANIWA, kwahyo MKRISTO kuwa upande wa muisrael kibiblia ni sawa sawa haijalishi hao waisrael wanamuamini Yesu au lah, kila mtu ana wajibu wa kutekeleza kile maandiko ya Imani yake yanavyosema, hukumu ya haki ni siku ukifika Mbinguni kwa MUNGU WAKO.
Genesis 12, 1 ;The LORD had said to Abram, "Leave your country, your people and your father's household and go to the land I will show you. 2 "I will make you into a great nation and I will bless you; I will make your name great, and you will be a blessing.3 I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse; and all peoples on earth will be blessed through you."

Pia maandiko mengine yanasema;
"There is neither Jew nor Gentile, neither slave nor free, neither male nor female, for you are all one in Christ Jesus. If you belong to Christ, then you are Abraham's seed, and heirs according to the promise."[4]
In Romans 4:13 it is written:

"It was not through the law that Abraham and his offspring received the promise that he would be heir of the world, but through the righteousness that comes by faith."


REFERENCE;
Genesis 12:1 it is said:

The LORD had said to Abram, "Leave your country, your people and your father's household and go to the land I will show you."
and in Genesis 12:7:

The LORD appeared to Abram and said, "To your offspring [or seed] I will give this land."
and again in Genesis 15:18–21:




The verse is said to describe what are known as "borders of the Land" (Gevulot Ha-aretz).[3]

The promise was confirmed to Jacob at Genesis 28:13, though the borders are still vague and is in terms of "the land on which you are lying". Other geographical borders are given in Exodus 23:31 which describes borders as marked by the Red Sea, the "Sea of the Philistines" (i.e. the Mediterranean), and the "River," (the Euphrates).

The deity later confirms the promise to Abraham's son Isaac (Genesis 26:3), and then to Isaac's son Jacob (Genesis 28:13), who is later renamed "Israel" (Genesis 32:28). The Book of Exodus describes the Promised Land in terms of the territory from the River of Egypt to the Euphrates river (Exodus 23:31). The Israelites lived in a smaller area of former Canaanite land and land east of the Jordan River after Moses led the Exodus out of Egypt (Numbers 34:1–12), and the Book of Deuteronomy presents this occupation as God's fulfillment of the promise (Deuteronomy 1:8). Moses anticipated that God might subsequently give the Israelites land reflecting the boundaries of God's original promise – if they were obedient to the covenant (Deuteronomy 19:8–9).


 
Hata bana zao walipora, Kaanani huwa kuna watu hata kabla Ibrahimu hajaahidiwa. Nakumbuka alinunuaga kiwanja tu sio ardhi.

Alafu wayahudi walikuwa katika makabila 12 hawa ni wayahudi wa kabila gani?
 
Hata bana zao walipora, Kaanani huwa kuna watu hata kabla Ibrahimu hajaahidiwa. Nakumbuka alinunuaga kiwanja tu sio ardhi.

Alafu wayahudi walikuwa katika makabila 12 hawa ni wayahudi wa kabila gani?
MUNGU NDIO ALIAMUA WAPEWE , ndo maana kwenye historia ya waisrael, kila eneo walilotwaa walilazimika kupigana, kuua wakazi wote na kumiliki, soma mission za waisrael kuanzia kuingia caanan wakiongozwa na ,musa na haroun kisha wakapokea joshua na caleb.
Mungu aliwapa wana waisrael eneo hilo lililokuwa limebarikiwa kama kutimiza agano lake kwa ibrahim, isaka na yakobo, na kizaz cha wenyeji wa eneo lile walikuwa wapagani waabudu sanamu, hvyo Mungu alitaka waangamizwe.
wasoma biblia wanaijui hii historia, mgogoro wote wa israel na palestina source iko kwenye bible na mwisho wake pia umetabiriwa, kwamba hii vita haitaisha mpala mwisho ujio wa masihi,maana wakiacha kizazi chao kiishi badala ya kukiangamiza chote
 
Sasa waliondokaje hapo. Maana aliwaambia wakizingua atawatawanya na kweli imetokea. Huoni kujirudisha hapo kwa mbeleko ya wamagharibi ni kinyuma na maagizo ya Mungu.

Ile ahadi ya Mungu ya kaanani ilikuwa ni kiroho zaidi sio kimwili maana Mungu hana malengo marefu na hii dunia.
 
historia ya wao kuondoka imeshafunguliwa uzi humu, itafute ile iliyohaditthiwa na zaka za kazi... kwenye biblia ni mara nyng tu israel walikuwa wanatawala na kutawaliwa na ardhi yao kukaliwa na mataifa mengine, kila walipokuwa wakimuasi Mungu, Mungu alikuwa anawapeleka utumwani yaan kuwainua maadui zao mili wawatawale mpaka watapotubu ndio Mungu anapowashindia tena Ardhi yao, ukisoma simulizi za wafalme wengi wa israel waligana vita za namna hii, kutawaliwa wakimuasi Mungu na kushinda wakimrudia Mungu, hvyo mapambano ya ardhi ni historia ya waisrael.. kuhusu wao kurudishwa na mbeleko ya magharibi bado ni kilekile, Mungu hutumia watu kukuuangusha na hutumia watu Kukuinua... kwann walirudishwa palepale na wasipelekwe sehemu nyngne duniani? jibu ni kuwa ndio destiny yao .. ndio ardhi ya mababu zao wote wamelala pale wale waioingia maagano na MUNGU WAO.
swala la ahadi ya caanan ni ya kiroho na sio kimwili, sio kweli.... walipewa baraka za kimwili na kiroho, baraka za rohoni ni utapokufa ukienda mbinguni.. za kimwili zinaendelea as long as upo duniani, kumbuka Mungu alibariki uzao sio mtu mmoja, kwahyo as long as hawa ni uzao ule zile baraka zinawahusu, kwamba MUNGU hana mipango ya muda mrefu hilo siwezi dhibitisha maana mwisho wa dunia bado na hii ni 2023 AD, BADO TU DUNIA YAKE IPO NA UZAO UNAENDELEA
 
Mungu aliwapambaniga sana waisrael. lakini lilikuwa sikio la kufa.
 
Hizo story unapata uhalali gani kuzitumia wakati Dunia ina dini nyingi na kila dini inamaelekezi yake. Akiibuka mbudha anasema Mungu wake alimwambia tanzania ni yake na anarudi tanzania tutatumia kigezo gani kumpinga kwa mfano huu wa wayahudi.

Mbona walitaka kuletwa uganda kabla ya kupelekekwa hapo Middle east wakati wanahama ulaya.
 
Adolph hitler kuifanya holocaust ilimlazimu kutokana na kuwaona wayahudi wasiokuwa na kwao kwa wakati huo wa vita vya kwanza kama ndiyo sababu kubwa ya Germany kushindwa vita vyake.

The Jews walitumika kama army intelligent investigators kwa mataifa pinzani kwa Germany mwishowe Germany ikashindwa vita kwa wakati huo hitler alikuwa ni miongoni mwa Askari jeshi wa Germany.

Hitler kuwaangamiza wayahudi ilikuwa ni kama kuwafanyia kisasi.

Historia inaeleza sababu za kuwaadhibu na kuwaangamiza wayahudi kwa wingi moja wapo ni chuki ya Hitler dhidi ya wayahudi iliyoanzia katika vita vya kwanza vya dunia.

Huu sio uvumi wala ila ni tukio lililofanywa na Hitler.
 
Sheria inasemaje kama mna mgogoro wa ardhi huko mashariki ya kati
 
Umeitendea haki, ngoja wana wa kijakazi waje wabishe
 
Kamanda mmoja wa Kiyahudi,walipokuta makambi ya kuwaua wayahudi na miili ya watu waliokufa,na walio hai ila wameisha mmili.Aliwaambia wapige picha na kuchukua kumbukumbu zote inavyowekezana.Maana wataibuka watu na kusema,hayajawahi kutokea mauaji yoyote dhidi ya wayahudi.
Ni kweli leo,mmojawapo wa watu hao ninwewe.
 
Wagalatia linakupuka suala Israil huwa akili zinawaruka, na wengine unaweza kuta wanajifanya ni wapiganiaji Haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…