ukawa dona
JF-Expert Member
- Feb 8, 2023
- 516
- 887
Mbowe Bora Iddi Amin na magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngija waje hapaKwanini UWT mmefurahia sn Mbowe kugombea?
Huyu jamaa nafikiri ndiye Nchimbi mwenyewe.wanajua biashara tayari
Mbona hamjawahi kumpigwa risasi 40 huyo mwamba wenu feki.Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana.
Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani.
Hawa ndio tukabidhi chama?
Sawangija waje hapa
YapHuyu jamaa nafikiri ndiye Nchimbi mwenyewe.
Mbowe alivuja mguu wakati amekunywa konyagi...walisikika machawa WA kijaniLissu alifumaniwa na mke wa mtu
Kama hicho ndio kigezo basi mdude apewe chama chote kiwe chakeMwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana.
Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani.
Hawa ndio tukabidhi chama?