Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

Ukiwa na akili timamu huwezi kumsupport Mbowe alichofanya, alitakiwa mpaka sasa awe ameshamwandaa mtu wa kushikikia uongozi wa chama. Huu ni upumbavu sana, hakuna anayeweza kusupport huu upumbavu. Bora chadema ikafa kikatokea chama kingine.

Ingawa mbowe hajachelewa kuokoa chama kugawanyika. Amekubali kuingia kwenye mtego wa CCM kichwa kichwa. Zero brain!

Sijajua kwann hajajifunza ujinga waliofanya mwaka 2015, ndo unajirudia tena 2025, upuuzi mtupu. Leo Chadema ingekuwa na nguvu sana kama siyo makosa ya 2015.

Inaonekana upinzani bado hawapo serious kuwa wapinzani.
 
Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana.

Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani.

Hawa ndio tukabidhi chama?
Mbona hamjawahi kumpigwa risasi 40 huyo mwamba wenu feki.
 
Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana.

Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani.

Hawa ndio tukabidhi chama?
Kama hicho ndio kigezo basi mdude apewe chama chote kiwe chake
 
Back
Top Bottom