Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

Ngoja niingie darasani nikomae na hiyo crypto currency
 
Nigeria wanawaita yahoo boys, kazi yao ni kutapeli vizee vya kizungu.
 
Ngoja niingie darasani nikomae na hiyo crypto currency
Kumbuka pia kuna hasara sio rahisi kama unavyofikiria, haya mambo yanahitaji uzoefu kama ilivyo kwa biashara,

unaweza kununua crypto currency lakini ukiingia sokoni kuziuza unakuta thamani imeshuka inabidi uuze kwa hasara, unakutana na ushindani mkubwa wapo wanaouza bei chee, n.k.

cha muhimu upate wa kukushika mkono ambae anafanya hizo shughuli awe anakutafunia, huko google unaweza pata elimu lakini kiuhalisia kuna vitu vya ziada huwezi vikuta kirahisi rahisi.
 
Kuna pesa za UNICEF kwani wewe bado hujapata?
 
Kuna dogo mmoja mwaka 2017 alikuwa akishinda nyumbani ila hela alizokuwa anaingiza ni balaa... yeye ni mtu wa graphics. Dogo kipaji chake sio poa. Kafanya kazi nyingi za wasanii ambao kupitia wao dogo akawa anapata kazi nyingi. Tusichoke kujifunza
 
Ngoja waje watupe majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…