Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli.

Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester, Massachusetts pia alitiwa hatiani kwa shtaka kama hilo kufuatia kesi ya siku nane katika mahakama ya shirikisho. Wawili hao wanakabiliwa na kifungo cha hadi miaka 20 jela.

Uamuzi huo ulitangazwa na Wakili wa Marekani Jane Young, ambaye alisisitiza dhamira ya Idara ya Sheria ya kuwashtaki wale wanaowezesha ulaghai wa mtandao unaolenga watu walio hatarini.

"Uamuzi huu unasisitiza uzito ambao Idara ya Haki ya Marekani inatazama ulaghai wa mtandao unaolenga watu walio hatarini," alisema Wakili wa Marekani Jane Young.

Kati ya 2013 na 2019, Sepetu na Quaye walidaiwa kupokea takriban $3.2 milioni (zaidi ya Sh8 bilioni) kutoka kwa mwathiriwa wa ulaghai huko Texas.

Fedha hizo zilihamishiwa kwenye akaunti za benki zilizoanzishwa na washtakiwa kwa majina ya makampuni mbalimbali ya kandarasi.

#KitengeUpdates
 
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo buhongwa-Mwanza, Kazi yake aieleweki anashinda ndani kwenye computer kuanzia asubuhi mpaka jionii, labda jioni ndio anatoka kwenda kujipumzisha, nikajaribu kumchombeza nimuulize aniambie labda anamchongo gani?

Nikamuuliza kuhusu freelencer, sijui Upwork vyote hivyo havijui ila alichonambia TU ni kwamba anauza coin/Bitcoin Kuna site anaenda kununua kwa bei rahisi then na yeye anaziuza kwa Bei ya juu, ni kama wakala tu, sijui ndio mambo ya cryptocurrency kidogo nikaanza kumuelewa, lakini Sasa maendeleo yake ni ya kutisha amenunua gari x-trail kanunua kiwanja million 12 mpaka nimeshangaa wakuu.

Mwingine yupo naye elimu yake ya form four tu lakini alinambia ana blog /website ya mziki lakini anaingiza pesa kubwa sana anajenga.

Nimeshindwa kuelewa kitu kimoja, wote hao hawana background yoyote ya mambo ya ICT, Lakini inaonekana wanachokifanya kinawalipa.

Je unahisi wanafanya kazi gani? Ili nasisi tujiongeze huko tupate hata laki mbili kwa mwezi. Najua JF Ni kisima Cha maarifa hatuwezi kubaniana nondo kama hizi.
itakuw Wana mine BTC
 
Tafuta hiki kitabu
2a9bc4f7ab3489aeef6668fd937a40ed.jpg
 
Ungetupa abc, skills hata mbili nikomae nazo mkuu nijipe hata miezi 6 ya kujifunza.

Ngoja niingie darasani nikomae na hiyo crypto currency
Bro sijui una miaka mingapi sasahivi, ila miaka mitano baadae wewe ni millionaire even billionaire.
Cha msingi usiche kujishughulisha wakati unaendelea kufijunza ili ukiipata knowledge uwe na mtaji wa kutosha. Fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae. ila usije kuwa na tamaa sana kabla ya kuwa na knowledge ya kutosha ukaanza kuingia sokoni utapoteza hela sana. Na wakati unaanza kutrade fanya spot drating not future.
 
Bro sijui una miaka mingapi sasahivi, ila miaka mitano baadae wewe ni millionaire even billionaire.
Cha msingi usiche kujishughulisha wakati unaendelea kufijunza ili ukiipata knowledge uwe na mtaji wa kutosha. Fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae. ila usije kuwa na tamaa sana kabla ya kuwa na knowledge ya kutosha ukaanza kuingia sokoni utapoteza hela sana. Na wakati unaanza kutrade fanya spot drating not future.
Nina miaka 27 mkuu, mtaji ninao 10 million
 
Nina miaka 27 mkuu, mtaji ninao 10 million
Safi sana bro Unacho hitaji ni knowledge tu kuanza kutengeneza pesa, anza kufatilia kupitia YouTube cryptocurrency) as a beginner ndani ya miezi kadhaa utaanza kuona mwanga. Tahadhari unapoanza kutrade usiweke mtaji wote.
Let's say unaweza ukaanza na mtaji wa 1000$ huwezi kosa minimum of 1% of your capital per day 1000/100=10 na hiyo ni minimum ukishaanza kufahamu utakuja kuniambia hapa.
Risk zake (faida na hasara zake) utazijua zaidi ukisha pata knowledge.
Keep studying 📚
 
Itakuwa wanacheza hizo forex au wengine wanabeti kucheza zile kamari za papo kwa papo mfano Aviator almaarufu Kindege.

Huwa najiuliza ukiwa umejiunga na internet ya cable ile ya TTCL halafu unatumia laptop ya viwango vya juu kucheza Kindege hauwezi kuwapiga kweli?
 
Back
Top Bottom