Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Zama Pm chap.

Na Zingatia vigezo.

Alaf Ww kwa umri wako sio wa kusema unataka mwanaume yoyote ili mradi awe anapumua. 😁😁😁

Cha!! Weka vigezo konki. 😎😎😎
Mi niko kwenye stage ya kuomba kwa Mungu nikitoka huko ndio ntakuja hapa.. sahizi nasubiri gari stendπŸ˜‚πŸ˜‚
 
mwalimu hapa anatafuta mume

JINSIA:
Mwanamke

UMRI:
Miaka 36
KAZI:
Mwalimu dini (Mkristo)
MAHALI:
Naishi Iringa kwa sasa
KABILA:
Mkerewe


ELIMU:
Degree
pia nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa

SIFA ZA MUME NINAYEMTAFUTA:
– Awe mrefu (na mimi ni mrefu)
– Awe mpole na mchamungu
– Umri kuanzia miaka 38
– Awe na kazi halali
– Awe na uwezo wa kuongoza familia
– Asiwe mkwepa majukumu
 

Mwalim kanyooka kabisa huyu.
Mungu ampe hitaj la moyo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…