Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Kutoa tu namba ya gari ni dalili tosha ya uongo.

Bro usimlaumu sana Shem angu kabisa Seran .
Ana moyo teketeke, moyo unaolainika na mahaba kama tissue kwenye maji, yaan analowa mapenz dk 0, akipenda moyo wale hulegea na unakuwa sio wake tena. Anakupea kabisa 😁😁😁😁

Kwahiyo anajikinga sana na mahaba sikuhizi.
 
Kumekuchaaaaa!!!
 
anatafuta Mume hapo mtu mzima mwenzie.
wakuu ukija PM njooo na maelezo yote kuepusha maswali mengi yaani ukija pm usije kuchati njoo na sifa zako tu ikibidi hata salam usitoe

Mwanamke
Miaka: 43
Hali ya ndoa: Niliwahi kuolewa, nikaachika
Watoto: 3
Dini: Muislamu
Elimu: Degree
Kazi: Mwajiriwa
Makazi: Dodoma
Kabila: Mpare

Ninatafuta mume mwenye sifa hizi:
Miaka: Kuanzia 45
Dini: Muislamu
Kazi: Awe na kazi rasmi, inayoeleweka
Tabia: Mtafutaji, mwenye maadili
Asiwe mlevi
Asiwe mvuta sigara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…