Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Binti huyu anataka Mume mtu mzima

jinsia: Mwanamke
Umri: Miaka 27
Hali ya ndoa: Sijawahi kuolewa
Mtoto: Sina
Elimu: Kidato cha Nne
Kazi: Mjasiriamali
Makazi: Mwenge, Dar es Salaam
Dini: Mkristo (RC)
Kabila: Mhehe
Mwonekano: Mrefu wa wastani, mweusi
ANAYEHITAJIKA (MWANAUME)
Umri: Kuanzia miaka 35
Kazi: Awe ameajiriwa au mfanyabiashara
Tabia: Awe anajielewa sana, mpole, anayejali
Maadili: Asiwe na tamaa, asiwe mpenda starehe
Ndoa: Awe tayari kwenda kwa wazazi na kufungua ndoa
 
Bado unanuka maziwa unajua kuchezeana wewe??

Sio unaambiwa kaa style ya paka kanusa bomu unaanza β€œOoh!! Kwetu wananitegemea”

Mtoto jishikilie ligi za UEFA hizi sio kombe la mbuzi hili..!! 😹😹😹
Haya ndo mambo nataka sasa.

Njoo unipe changamoto ili nikue zaidi kwenye tasnia.

Nipo tayari kuwa mwanafunzi wako.
 
Haya ndo mambo nataka sasa.

Njoo unipe changamoto ili nikue zaidi kwenye tasnia.

Nipo tayari kuwa mwanafunzi wako.
Hiyo haina shida ila uage kwenu na uje na barua ya mtendaji bila kusahau umtoe hofu mama yako ASIKUTAFUTE..!!

Sio uanze kupostiwa kama diwani uniletee hekaheka..!! Okay 😹😹
 
Dalali akishachukua commission yake hapokei simu.
 
Maskini binti mdogo, 😭😭😭😭
 
Bado unanuka maziwa unajua kuchezeana wewe??

Sio unaambiwa kaa style ya paka kanusa bomu unaanza β€œOoh!! Kwetu wananitegemea”

Mtoto jishikilie ligi za UEFA hizi sio kombe la mbuzi hili..!! 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo haina shida ila uage kwenu na uje na barua ya mtendaji bila kusahau umtoe hofu mama yako ASIKUTAFUTE..!!

Sio uanze kupostiwa kama diwani uniletee hekaheka..!! Okay 😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msukuma na mwanamke mweupe ni πŸ‘πŸΌπŸ˜.
Kuna siku bodaboda (Msukuma) kidogo anibwage chini kwa kugeuka kwamwangalia white.
 
Pole sana.
Ukafanikishe hitaji lakoπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½.
 
Taarifa mdugu mwenyekiti

Sisi wanandoaa tunaomba na grp la.mahawaraaa humu kwenye ndoa kuna motooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…