Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?


Mpemba kumbe kuna watu wanaweza wakategua kabisa 😂😂😂ama kweli bado sijaona mengi
 
Aiseee mwamba hebu fukua kidogo sheikh ...
 
Sure kaka...
 
Dah! Kwaiyo huu uchawi Bado Kuna mafundi wanautegua[emoji848]
 
Dah! Kwaiyo huu uchawi Bado Kuna mafundi wanautegua[emoji848]
Yeah hii wanategua kwa maelezo ya jamaa mwaka 2016...Yani ikifika karibu na ile tarehe Kuna nyama ya mbuzi inapakwa dawa...halafu muhusika anakaa juu ya mti akiwa na nyama a..chini linachimbwa kaburi..halafu muhusika mdogo mdogo anaangusha nyama shimoni alafu kiumbe kinatokea kwenye ile kaburi na kuanza kula nyama kikiamini Ni muhusika aliechukua utajiri...kikimaliza kinapotelea kaburini...means kimerudi kilipotoka...hivo muhusika anakua ametapeli majini mamaeeeee.....ambao naona hawatapeliki Ni Freemason..au mabingwa wa congo au Malawi maana inavoonekana huku tz Kuna loop waganga walikua wanaacha ndo Mana magwiji wa kigoma kina juma marasta walikua wanategua
 
Aisee Hii duniani Ina mengi Sana mkuu, [emoji1787] kumbe ata kwenye uchawi watu wanafanyiwa mazingaombwe
 
duuh hatari mkuu kuna watu wanaroho ngumu yani anaona kabisa vitu vya ajabu aah mimi siwezi dooh sasa baada ya apo anabaki na huo utajiri au ndo anarudia maisha ya kawaida ya shida zaidi.
 
Kwa nini waganga wanaacha loophole, wana maslahi gani na hilo.....au tuseme wenye maslahi kwenye agano la namna hiyo ni nani na nani.....
 
duuh hatari mkuu kuna watu wanaroho ngumu yani anaona kabisa vitu vya ajabu aah mimi siwezi dooh sasa baada ya apo anabaki na huo utajiri au ndo anarudia maisha ya kawaida ya shida zaidi.
Anabaki nao ingawa zile nguvu za kuuuendeleza kwa speed anakua Hana...hivo akiwa mzembe anapoteza zote kikawaida
 
Inawezekana kwa kutokujua..haikua inawaletea faida hiyo zaidi ya hasara kwakua wateja hawafi
OK, kwa hiyo wanajikuta wamepata hasara kwenye mambo yao ya giza.........anyway, Mungu ni zaidi ya nguvu za giza, mapepo, mizimu, waganga, walozi, wachawi, waabudu shetani aka. freemason na matakataka mengine kwenye ulimwengu wa giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…