Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Ukiishia foundation,
1. Hutakua mhasibu (NBAA hawatakusajili)
2. Foundation level ni beginner level, vyuma au CPA yenyewe ni Intermediate na Final level

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimekupata Chief! Swali la nyongeza kama nikiishia foundation au intermediate, nitatakiwa kulipia ada ya uanachama kila mwaka kama wenye CPA?
Suala la kusajiriwa kwangu sio lazima, nahitaji skills za kihasibu zinisaidie kwenye uwekezaji.
 
Sasa si kasome tu ngazi ya cheti Cha msingi itakuwa imekupa hizo dondoo.
 
Nimekupata Chief! Swali la nyongeza kama nikiishia foundation au intermediate, nitatakiwa kulipia ada ya uanachama kila mwaka kama wenye CPA?
Suala la kusajiriwa kwangu sio lazima, nahitaji skills za kihasibu zinisaidie kwenye uwekezaji.
Kuna aina mbili ya ada ya uanachama.

1. subscription fee ya CPA candidates

2.subscription fee ya CPA graduates.

Kwasababu hujamaliza, utakua unalipa kama mwanafunzi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…