Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 483
- 491
Nimekupata Chief! Swali la nyongeza kama nikiishia foundation au intermediate, nitatakiwa kulipia ada ya uanachama kila mwaka kama wenye CPA?Ukiishia foundation,
1. Hutakua mhasibu (NBAA hawatakusajili)
2. Foundation level ni beginner level, vyuma au CPA yenyewe ni Intermediate na Final level
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Suala la kusajiriwa kwangu sio lazima, nahitaji skills za kihasibu zinisaidie kwenye uwekezaji.