Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Kama ni hayo yaliyobaki, ushafaulu, somo gumu huwa ni C1, ni gumu kuliko hata B5.
Kila la Heri.
Unanifariji mkuu japo mimi huwa naenda vice-versa sijui, huwezi amini C1 na B5 nilizifaulu single seat ila B1 niliirudia 2 times 😒😪 na B1 kaka ake ni C3 inaniogopesha pia
 
Hello Great thinkers, kwa wote mtakaofanya mitihani ya May 2024, nawatakia maandalizi mema ya mitihani, tunaomba Mungu atufikishe salama na tumalize salama🙏.

Ila shikamoo C3 nasoma sielewi, ubongo mzitoo😀😢
 
sijui nianzie wapi kukuelezea

CPA haijarahisishwa. Ipo vile vile.

Watu wanapata wengi sababu Kampuni kubwa za ukaguzi wa hesabu zimebadili mbinu na njia za staff wao kupata cpa.

Sababu wana pesa wao Wanapitia route ya ACCA katika kupata CPA.

Nowdays graduate ukipata kazi PwC ujue na CPA utaipata bila msoto wala mateso. Maana utapitishwa njia ya ACCA kupata CPA bila msoto

Masomo yanayosumbua na kufelisha watu wengi kwenye CPA wewe huyafanyii mitihani ya nbaa kama ukipita njia ya ACCA kwanza
 
ACCA ni kitonga sana hata mimi nampango nianze na ACCA nimalize na CPA. Nilitaka kaunza na CPA lakini kuna jamaa angu ni mhasibu wa PWC akanishauri hivi 🙌🏿
 
ACCA ni kitonga sana hata mimi nampango nianze na ACCA nimalize na CPA. Nilitaka kaunza na CPA lakini kuna jamaa angu ni mhasibu wa PWC akanishauri hivi 🙌🏿
Ni kweli, ACCA ni elimu bora sana na pia ni rahisi kufaulu, ila mpaka ufikie level ya kufauli, maana yake vitu unajua mno
 
naomba kuulza kama mm nasoma tumaini university corse bachelor of business administration (in accounting) cpa naanza foundation u intermediate
 
Hello Great thinkers,hatimaye week ikaisha, hongereni wote mliokua mnafanya mitihani week hii, tunamshukuru tumemaliza salama japo mambo magumu ila mapambano yanaendelea🙏.

Ila kiukweli zimamoto imenikomesha week hii🙌🙄
 
Shkran san kaka apo tumelew mujarab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…