Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Dada financial services Kwanza niseme nakupenda. Nakuona humu ndani ni muda sasa.
Napenda tu the way ulivyo.

Tukirudi kwenye mada CPA (T) naweza kusema kwasasa ina soko. Sasa hivi huwezi kuwa muhasibi kama hauna CPA.

Hata kama una Degree ya uhasibu bado huwezi kuwa muhasibu,ukiajiliwa serikalini utatambulika kama afisa hesabu sio muhasibu.

Mimi nilianza kuisotea tangu 2016 bahati mbaya bado sijaipata ila nipo hatua za mwishoni kuhitimu.

Session huwa mbili kwa mwaka, Ni May na November. Pia kuna mid session ukitaka March na August Ada za Mid Session zimechangamka Pepa moja unalipia hadi laki 3. Kama upo Dar ni vizuri mm nimesoma CPA kwa muda wote huo nikiwa mkoa wa Rukwa. Mitihani nilikuwa nafanyia Mbeya Pale Sokomatola Mkapa Hall.

Nilishawishika kusoma hii kitu baada ya boss wangu aliyenipokea mwanzo alikuwa Muhasibu Mkuu now baada ya waraka ni Afisa hesabu.

Faida za kuwa na CPA ni nyingi sana, Mosi ukiwa nayo mshahara wa kuanzia kazi TGS F then unakuwa certified in Public Muajiri ansearch jina NBAA anapata data zako kiusahihi no longolongo.

Wahasibu ni kama wanasheria now huwezi kuwa mwanasheria bila kupitia Law School.

Mungu anisaidie nipate na ACCA
 
Chenye maslahi ndo kinapendwa,Kwan unafikiri waliosomea ualimu walipenda!? Ni maisha tu yaliwadrive ,chukua account,then CPA,labda tujuzane kwenye agencies c pa holder anakula ngapi salary!?
 
Hi wakuu mnaoendelea na maandalizi ya mitihani itakayoanza tar 01 November,we wish you the best, msisahau kwenda na NBAA I'ds na kama hujachukua zimeanza kutolewa jana 25 kwa waliopo Dar at NBAA Mhasibu House library, mikoani mtazipata tar 31 at your examinations centers, as per attached more details. All the best to you all. Mr Confidential
 
Attachments

Ahsante Mkuu, Mi nishachukua changu mapema.
 
Hi wakuu mnaoendelea na maandalizi ya mitihani itakayoanza tar 01 November,we wish you the best, msisahau kwenda na NBAA I'ds na kama hujachukua zimeanza kutolewa jana 25 kwa waliopo Dar at NBAA Mhasibu House library, mikoani mtazipata tar 31 at your examinations centers, as per attached more details. All the best to you all. Mr Confidential

Haifunguki
 
Haifunguki
Ebu check hii
IMG-20221024-WA0003.jpg
 
Hi wakuu mnaoendelea na maandalizi ya mitihani itakayoanza tar 01 November,we wish you the best, msisahau kwenda na NBAA I'ds na kama hujachukua zimeanza kutolewa jana 25 kwa waliopo Dar at NBAA Mhasibu House library, mikoani mtazipata tar 31 at your examinations centers, as per attached more details. All the best to you all. Mr Confidential
Asante kwa information, best wishes to you[emoji110]️
 
Umepotea sana mkuu au ndiyo full suit inakunyoosha[emoji23]
Asee, Mungu anipe nguvu na ustahimilivu. Mambo ni mengi si mchezo ,yaan unashika B2 unagundua B1 huja cover vizuri. Unagusa B1 unakumbuka kuna mnyama B5🥲, Hapo B4, B3, B6 zinakusubiri.

Naomba Mungu anisaidie kwa kweli. Nitafaulu yote,Inshallah[emoji2969][emoji110]️
 
Back
Top Bottom