Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
 
Bado mmoja, naye barua Iko tayari.

Pole sana Mleta mada, ukute nawee ukitoka hapa unagonga Mke wa MTU au unamtamani!

Uovu ndo huohuo sawa na hao unaowaita waovu!

We mwovu!

We kama maemaji wa serikali katangaze khadharani Kwa kuweka public aversion na siyo kujificha huku jf
 
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
Kwa kawaida mwenezi.wa. chama anapaswa kukanusha taarifa hizo coz wahusika ni wanachama wa CCM!!

Kwanini ccm imekaa kimya wakati.wanchama wake wanazushiwa uzushi!!?

Cha kujiuliza ni kwanini Kuna ukimya wakati haya yakiendelea!!!
 
Kwanza, hakuna mkutano mkuu wa CCM ulioitishwa ni Sekretarieti ya KK, KK na NEC.

Pili, hakuna mwenye hati miliki ya uongozi CCM kabla ya Chongolo kulikuwepo na watu na baada yake kutakuwepo watu hivyo Hana u-special unaotaka tuamini anao.

Tatu, maamuzi ya vikao ni muhimu hivyo tusubiri maamuzi ya vikao
 
Lisemwalo Lipo Ama Linakuja

Endapo Yanayosemwa Ni Uzushi Basi Seeikali Itoke Hadharani Imeseme Huo Ukweli
Itasaidia Kuondoa Uzushi Na Ukakasi Wote, Kuumwa, Kufa Vipo Haitakuwa Kwa Mara Ya Kwanza
Serikali kupitia Katelefon ilituambia Mh anawasalimu wote na Yuko ofisini anachapa kazi kuwatumikia Wananchi wake. Nini kilifuata baadae??
 
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
.........yupo na anaendelea na majukumu yake, anachapa kazi, tena anawasalimia. By Majaliwa 14/03/2021
 
Back
Top Bottom