Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
"Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema"

HAPO JUU NDIO UMEKOSEA KABISA,KUMBE NA WEWE NI BONGE LA NAFIKI
 
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
Ungeitumia vizuri nafasi hii kwa kuwaeleza kama yuko ofisini anachapa kazi, au wanataka wamuone Kariakoo.
 
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
Taharuki maana yake nini ?

Hivi ikitangazwa kiongozi Daudi Athumani anaumwa nani mtaani anapata taharuki ?

Nini kuumwa. Lets say KAFA. Nani atapata taharuki na kurukwa akili eti Vice President kafa? Kwani raia hatujui kuna kuugua na kuna kufa? Taharuki my foot! Na raia tukiugua au tukifa Dr. Mpango yeye huwa anataharuki? Kuna mkubwa nchi hii anakosa usingizi raia nyani hawa wamekufa ?

We don't give a rat's ass about afya za viongozi, any more than they give a fvck about us either. Wamekataa ku subsidize shilingi 35 bilioni ku cover bima ya mtoto wa Tanzania kwa mwaka, hela ambayo ni ka robo tu ka bajeti ya kununua, kukarabati na kujaza mafuta ya Land Cruisers zao kila mwaka. Kwa nini tupate taharuki wakiugua au wakifa mazima ?

Taharuki ? What about tabasamu ?
 
Kuna watu ndani ya hilo lichama lenu,uwezo wao wa kufikiri ni zero; hawa ndio wataleta mtafaruku
 
Njia ya muongo ni fupi ya nn sasa mpaka tupate shida wakati ndugu yetu Mpango yu mzima atokeze tu apige story harafu hao wapuuzi wanao zusha ndo wanabaki na aibu lakini km atakua haonekani wanapata nguvu na upuuzi wao.MH.JITOKEZE SISI WANANCHI TUMECHOKA NA UONGO
 
Mambo ya bongo, ni ya kubeep beep tu, ilikuwa hv hv wakati wa afya mgogoro ya Maghu!
Wote tunajua Mpango, has one foot to be capacitated fully, or six feet under!
Afya mgogoro kweli kweli
 
Taharuki maana yake nini ?

Hivi ikitangazwa kiongozi fulani anaumwa nani anapata taharuki ?

Nini kuumwa. Lets say KAFA mazima. Nani atapata taharuki Dr Mpango kafa? Kwani raia hatujui kuna kuugua na kuna kufa? Sisi hatufi ? Na raia tukiugua au tukifa Dr Mpango yeye huwa anakosa usingizi? Anataharuki?

We don't give a rats ass about afya za viongozi, any more than they dont give a fvck about us either. Wamekataa ku subsidize 35 bil /= ku cover bima za watoto wa Tanzania ambayo ni ka robo ka bajeti ya ma Land Cruiser kila mwaka. Kwa nini tupate taharuki wakiugua au wakifa ?
Mmh !! Kwakweli !
 
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
Ngapi hukoo🤪
 
Kasim Majaliwa ni mzalendo mwenye uchungu na nchi hii na mwenye kipaws chs uongozi. Mungu ampe afya na maisha marefu
 
Kiongozi wa pili kitaifa ameamua kukaa kimya, ameamua kutoonekana toka alipoona Doto na Makonda wamepewa siti za mbeleni kwenye chama na serikalini

Huyu mzee anafahamu mambo mengi kuliko wengi wetu. Ila huyu siyo mwanasiasa bali ni mseminari na Mwalimu wa chuo. Siasa anafanya kwa sababu wanasiasa wamemtaka afanye siasa....hii haiondoi ukweli kwamba siyo mwanasiasa.

Tunapopuuza sauti za viongoz kama hawa wanaanza kujiona wao siyo watu sahihi na wamedharaulika. Naomba sasa tutafakari kuhusu ukimya wa Makamu wa Rais, tutoke adharani na kumwomba awe na uvumilivu aendelee kushauri na kuchapa kazi.

Mabadiliko yasiyo na tija uonekana na wanazuoni ila wanasiasa uyaona kama yenye tija. Mzee Mpango karibu tujadiliane kuhusu kesho ya Tanzania. Usikae kimya, zungumza nasi tupo tayari kuyafanyia kazi mawazo yako.
 
Ni Nani huyo anajivisha joho ya mwenyemungu anaepewa taarifa za kufa viongozi wandamizi selikakalin? Swala mtu kufa au kutokufa achiwe mwenyewe karim
 
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu

Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.

Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.

Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.

hakuna taharuki yoyote hata kama ni mgonjwa au anefariki nani awe na taharuki, labda ndugu zangu au wazazi wangu wakipata matatizo ndio nitakuwa na taharuki
 
Back
Top Bottom