Hakuna hicho kitu bro. Katika vyama vyote vya siasa tulivyonavyo, hao jamaa wanajua sana kumaliza figisu ndani kwa ndani. Wanaparuana sana lakini mwisho wa siku wanakua wamoja. Kumbuka enzi za JK wakati wa kumpata mgombea kunako 2015, waligawanyika sana. Mwisho wa siku wakakaa pamoja na kuja na jina la Mwendazake. Ugomvi ukaishia paleMapema Sana Ccm Wanafarakana
Tunaelekea DecemberKwa kawaida mwenezi.wa. chama anapaswa kukanusha taarifa hizo coz wahusika no wanachama was CCM!!
Kwanini ccm imekaa kimya wakati.wanchama wake wanazushiwa uzushi!!?
Cha kujiuliza no kwanini Kuna ukimya wakati haha yakiendelea!!!
Sijui nieleweke vipi, kama walishindwa kukipasua akina Lowassa, Nchimbi, Membe na wengine wenye nguvu, sio rahisi kwa sasa. Hawa jamaa wanajua namna ya ku deal na mambo yao.Ndiyo Kimepasuka Sasa Hivi
MmmmhChongoro tayari huko x.
Sijui unasemaje hapo.
Mengine bado tunasikilizia
Hebu subiri december ipite kwanzaKuna mdau huko nyuma alisema kuna kiongozi mkubwa atakufa hivi karibuni
Ina maana wanajulikana, kama nia yako ni njema ungeishauri mamlaka iwashughulikie hao waliorejeshwa badala ya waliotumwaNatambua mtandao mbaya umerejeshwa kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
Mtafaruku ! Pembe la Ngβombe halijifichi !!Kweli kabisa
Ila nawewe uache Uchochezi wa kusema Chongolo ameletewa Watu wanaotaka waonekane hawezi kuwadhibiti kusema
Tuambieni makamu wetu wa raisi yuko wapi? Acheni porojo.Mamndenyi nawe verified unaamini uzushi wa Kigogo na wale wanaopush hashtag? CCM ina tovuti, ina X account, kote huko hawajaandika habari ya Katibu wao. Kwa ni ni usiwaamini wao? Au na wewe una puch agenda za Makonda na wenzake?
Waasisi wa taharuki ni CCMKuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu
Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa kwenye mitandao kunawaondolea kuaminika kwenye jamii.
Kiongozi wa kisiasa jaribu kuchuja habari unayoweka kwenye mitandao ya kijamii. Nimtakie Mzee wetu Mpango maisha mema na afya tele zaidi kulitumikia Taifa. Nimtakie Mdogo wetu Chongolo uvumilivu kipindi hiki ambacho ameletewa watu wanaotaka aonekane kama hana hadhi ya kuwadhibiti kusema.
Natambua mtandao mbaya umerejesha kazini ila wakimtegemea Mungu watavuka salama. Waovu siku zote kwa Mungu ni chukizo. Waovu wakipewa madaraka madhara lazima yawepo hasa kwa watu wema na waadilifu......mimi personally nawaombea wale wote wenye uadilifu waweze kusimama dhidi ya kundi la waovu linalopigana usiku na mchana kurejesha ukatili kwenye siasa za nchi na ustawi wa watu wake.
Ngoja tuone ! ππIna maana wanajulikana, kama nia yako ni njema ungeishauri mamlaka iwashughulikie hao badala ya waliotumwa
πNgoja tuone ! ππ
Ni kawaida mla kunde husahau lakini muokota maganda huwa hasahau !!Waasisi wa taharuki ni CCM
Wanapopelekewa taharuki wakae kwa utulivu
Polepole alisemaga tuwakatae wahuni !Wengi walitabiri baada ya Ujio wa PCM chama kinaweza kugawanyika, na ndicho kilichotokea.
Kwasasa kuna movement kubwa inayotaka timu yao ichukue full power Chamani na Serikalini.
Ngoja tuone mwisho wa haya yanayoendelea.
Ila jambo la kuzingatia ni kuwa "Chama Imara huunda Serikali Imara".
Wakati ule tuliambiwa ni mzima wa afya, yaliyofuata watu wanayajua.Lisemwalo Lipo Ama Linakuja
Endapo Yanayosemwa Ni Uzushi Basi Seeikali Itoke Hadharani Imeseme Huo Ukweli
Itasaidia Kuondoa Uzushi Na Ukakasi Wote, Kuumwa, Kufa Vipo Haitakuwa Kwa Mara Ya Kwanza