Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NOPE
Mbatia hivi ana jimbo? Si ndio walikuwa wanagombana na mrema analalamika eti anataka kumpora jimbo lake
Yuko bize na mama Tanzania.
Mimi nataka urais kupitia CCM
Kumbe wewe ndio Daud A Bashite
Jina lake ni Steven Mengele....atumie jina lake aachane na ukoo wa Nyerere hayumo.
Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel Jenista Mhagama ajiandae jimbo la peramiho lipo mikononi mwangu tayar watu wa mpitimbi namihoro maposen lundusi parango litapwasi magagura mhalule lipaya mgazini mhukuru namatuhi litisha nakahegwa liganga lipokela matomondo namatanda huko kote nimeandaa ngome zangu
Kuhusu chama sina shka nacho
# TUKUTANE MJENGONI 2020 ZAMU YETU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hayipo!
Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app