mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Alianza dhuruma siku nyingi akiwa mkoani alitaka kutudhulumu nyumba baada ya kupanga, alikuwa mtata mke wake WA pili alikuwa Benki alikwiba mahela ndio kwenda kuanzisha hiyo Silent,kama ni kweli kachoka basi malipo yapo hapahapa.huyu mzee ni dhurumati acha apande Daladala wakina Ndanda Kosovo (RIP) walipokuwa wanamdai haki zao akawapeleke Segerea(kisa cha kujiita wajelajela original) malipo hapa hapa duniani
Hicho kiwanja kilikuwa kikari balaa! Enzi hizo niko UDSM (FoE) baada ya kupiga msuli tunachepukia short cut ya pale ilipo mlimani city tunaingia kiwanja mida ya fungulia mbwa! Daah!
Kufulia kwake unanufaikaje? Pambana na hali yakoAlianza dhuruma siku nyingi akiwa mkoani alitaka kutudhulumu nyumba baada ya kupanga, alikuwa mtata mke wake WA pili alikuwa Benki alikwiba mahela ndio kwenda kuanzisha hiyo Silent,kama ni kweli kachoka basi malipo yapo hapahapa.
Siohuyu ndio alimtambulisha Saida Karoli duniani enzi wahaya tunaheshimika duniani sio zama hiz za kina Mpoki
Tamka ulichokiandika kama uko sahihKumbuka hapa tunaandika na si kutamka mkuu.
Kuna wanaotesa mpaka mwishoKutesa kwa zamu
Tafta kama za diamond hutasahaulika mileleWakuu mmenipa hamasa ya kutafuta pesa. Nataka nami niheshimike niwe natajwa na watu nisiowajua. Nikutane na mtu leo, baada ya miaka kumi awe na kumbukumbu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hilo linatokea kwa wengi sana. Hata wewe mwenyewe unayeandika hio mada ukishika hela ya maana sana ya mamilioni mengi sana kwa mara ya kwanza lazima uichezee sana kwanza.Wana JF,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.
Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Duuh inastaajabisha sana.Wana JF,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.
Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Hata Diamond sasa hivi mambo yatazorota. Japo sasa ni yeye mwenyewe kufanya maamuzi sahihi ambayo yatamwezesha kuvuka wakati huu salama. Ni kweli hatasahaulika milele, lakini umaskini unaweza kumtokea. Fikiria watu kama Mike Tyson waliokuwa na hela balaa ila wakaja kufulia kabisa. Japo Tyson aliweza tumia umaarufu wake maisha yaende. Japo utajiri wa zamani aliokuwa nao ndio bye bye.Tafta kama za diamond hutasahaulika milele
Umemaliza chuo kikuu halafu kuandika hujui? Elimu majanga hii
Watu wengi wanaoshika hela nyingi kwa mara ya kwanza wanafanya kosa la watu wanaowazunguka. Wanaokuwa na watu ambao ni wanyonya damu tu. Wanakula tu hela yako, haizalishi. Hawakupi ushauri wa maana, hausongi mbele. Wanakupa tu kichwa sababu ni Yes men ili kuendelea kukupendeza uzidi kuwapa hela. Mambo yanavurugika, hela inapotea, nao wanakimbia ndio wanakuwa wa kwanza kukusema.Duuh inastaajabisha sana.
Kwa hiyo jamaa alikosea wapi katika kuwekeza ili na sisi tujifunze mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa kwa asilimia zote coz kuna kipindi nilibahatisha visenti basi ghafla nilipata wapambe hata walikotoka hapakujulikana.W
Watu wengi wanaoshika hela nyingi kwa mara ya kwanza wanafanya kosa la watu wanaowazunguka. Wanaokuwa na watu ambao ni wanyonya damu tu. Wanakula tu hela yako, haizalishi. Hawakupi ushauri wa maana, hausongi mbele. Wanakupa tu kichwa sababu ni Yes men ili kuendelea kukupendeza uzidi kuwapa hela. Mambo yanavurugika, hela inapotea, nao wanakimbia ndio wanakuwa wa kwanza kukusema.
Kwa hio asilimia kubwa ni watu mtu wanaokuzunguka ikiwa ni pamoja na wanawake pia
Papaa Rwegasira ni opportunist- hakua na pesa mwanzoni. Aliiona fursa akaenda kwa Micheal Njumba wa consolidated investment akakopa mpunga wa kutosha akainvest, senti zikaanza kumtembelea, akajirusha, akajirusha, akajirusha weeee na kujiachia....matumizi yakazid income akaanza kula mtaji akautafuna weee akafilisika, deni kwa Njumba hajalipa hata senti moja.
semper fidelis