PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno.

Vipo vyama vya siasa nchini,
mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa kihistoria usifanyike kwa mujibu wa katiba ya nchi.

Cha kushangaza zaidi,
kauli mbiu ya kuzuia uchaguzi huo inahubiriwa na mwenyekiti wa chama hicho wa taifa pekeyake, hiyo ikimaanisha viongozi wenzake wengine wa kitaifa, hawaielewi na inaonekana kama vile wameona haina faida, haina maana, wala manufaa yoyote kwa wananchi, lakini pia kwa chama hicho kilichopoteza uelekeo tanguu uongozi mpya chini ya Tundu Lisu kushika hatamu.

Akina Romanus kutangaza nia za kugombea urasi, akina Sugu na Aida wa huko Nkasi pamoja na watangaza nia wote nchini kupitia Chadema, wanamtumia ujumbe gani Tundu Lisu na no reform no elections yake?

Nawatakia watia nia wote wa Chadema maandalizi mema ya uchaguzi mkuu wa October, na ni muhimu zaidi pia kujiandaa kukubali matokeo baada ya uchaguzi. Hiyo ndio tamu ya demokrasia 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
kauli mbiu ya kuzuia uchaguzi huo inahubiriwa na mwenyekiti wake wa taifa pekeyake, hiyo ikimaanisha viongozi wenzake wengine wa kitaifa, hawaielewi na inaonekana wameona haina faida, haina maana wala manufaa yoyote kwa wananchi.

Akina Romanus kutangaza nia za kugombea urasi, akina Sugu na Aida wa huko Nkasi na watangaza nia wote kupitia Chadema, wanamtumia ujumbe gani Tundu Lisu juu ya utapeli wake wa no reform no elections?

Nawatakia watia nia wote wa Chadema maandalizi mema ya uchaguzi mkuu wa October, na ni muhimu zaidi pia kujiandaa kukubali matokeo baada ya uchaguzi. Hiyo ndio tamu ya demokrasia 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tunafukuza CHAWA... Jioni ya leo
 
Vita na machafuko yakianza hapa Nchini enyi Chawa wa Mama sijui mtakimbilia wapi?
 
Tunafukuza CHAWA... Jioni ya leo
leo usiku naingia dar,
kesho mapema sana ntakua chadema HQ kuhudhuria mafunzo ya no reform no elections kwa watia nia wa chadema ambao wanatajwa kua hawailewi:pedroP:
 
We jamaa yani unaumia sana CHADEMA mpaka pesa unayopewa na CCM inaanza kukukataa sasa
gentleman,
maumivu makali zaidi wanayaskia graduates waliotapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na wale vibaka wahamasishaji waliopuuzwa na wananchi kuhusu no reform no elections yao:pedroP:
 
Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno.

Vipo vyama vya siasa nchini,
mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa kihistoria usifanyike kwa mujibu wa katiba ya nchi.

Cha kushangaza zaidi,
kauli mbiu ya kuzuia uchaguzi huo inahubiriwa na mwenyekiti wa chama hicho wa taifa pekeyake, hiyo ikimaanisha viongozi wenzake wengine wa kitaifa, hawaielewi na inaonekana kama vile wameona haina faida, haina maana, wala manufaa yoyote kwa wananchi, lakini pia kwa chama hicho kilichopoteza uelekeo tanguu uongozi mpya chini ya Tundu Lisu kushika hatamu.

Akina Romanus kutangaza nia za kugombea urasi, akina Sugu na Aida wa huko Nkasi pamoja na watangaza nia wote nchini kupitia Chadema, wanamtumia ujumbe gani Tundu Lisu na no reform no elections yake?

Nawatakia watia nia wote wa Chadema maandalizi mema ya uchaguzi mkuu wa October, na ni muhimu zaidi pia kujiandaa kukubali matokeo baada ya uchaguzi. Hiyo ndio tamu ya demokrasia 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Inaashirikuwa msemo wenu wa acha waisome namba umepitwa na wakati na hauwasaidii tena.
 
Back
Top Bottom