PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
"no reforms no election" ya Chadema Kamwe haiwezi kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Octoba mwaka huu 2025. huo ndio ukweli....Chadema kutokushiriki ni haki yao ila wanachama wanaombwa wasiache kuipigia kura CCM. Watanzania tumemuelewa vyema Katibu Mkuu dkt Nchimbi.
Kazi iendeleeeeeeeee.mbele kwa mbele.
 
Kupoteza tu mda upige kura kwenye mazingira ambayo unaona kabisa kuna wengine lazima washinde hata kama wameshindwa?
 
"no reforms no election" ya Chadema Kamwe haiwezi kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Octoba mwaka huu 2025. huo ndio ukweli....Chadema kutokushiriki ni haki yao ila wanachama wanaombwa wasiache kuipigia kura CCM. Watanzania tumemuelewa vyema Katibu Mkuu dkt Nchimbi.
Kazi iendeleeeeeeeee.mbele kwa mbele.

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
kwa kuwa kura yangu ni ya thamani sana, sitaipoteza kwenye sanduku la kura feki!
 
"no reforms no election" ya Chadema Kamwe haiwezi kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Octoba mwaka huu 2025. huo ndio ukweli....Chadema kutokushiriki ni haki yao ila wanachama wanaombwa wasiache kuipigia kura CCM. Watanzania tumemuelewa vyema Katibu Mkuu dkt Nchimbi.
Kazi iendeleeeeeeeee.mbele kwa mbele.
Chadema haina mali nyingi (hata ofisi ni za kawaida)
chadema haina jeshi (zaidi wanaonewa kwa kesi za hovyo, kutekwa )
chadema haina wafuasi wengi (pengine ndio maana hawabebi watu kwenye malori)

ILA TAMKO MOJA TU LA CHADEMA KILA MTU ANA HARISHA!
BADO KU-BREED TU, MANINA 😀😀
 
Ccm imewauma sana haya shindeni kwa %100 then dunia itatuelewq
 
Back
Top Bottom