PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ni maneno tu
ni kupoteza muda
Si huyo Mama yenu ameshakiri kuwa aliharibu Uchaguzi wa serikali za mitaa au huwa ninyi hamfuatilii vyombo vya habari mumekalia kukatq viuno mitandaoni?
 
Kama kuna REFORMS na wewe usilukimbie Jukwaa hili au ubadili ID.
gentleman,
mimi ni mtu wa kuona mabali namana mambo yanavyokuja,

nikuhakikshie tu kwamba uchaguzi huru, wa wazi na wa haki,
utakao fanyika october kwa utulivu sana, amani na salama ya kiwango cha juu sana :NoGodNo:
 
Huo ni ulaghai wenu.
ulaghai ibaki tukua nadharia na dhana potofu binafsi isiyo na athari zozote kisiasa hususan kwa waliojiandaa kushindwa vibaya uchaguzi huo muhimu sana gentleman:pedroP:
 
Wote hawo ni kuwafukuza wakagombee kupitia vyama vingine,haiwezekani ili wewe uwe kiongozi hadi watu wafe au wawe vilema hatutaki ubinafsi.No reforms no election ova.
 
Du !
Tutafika mbinguni tumechoka sana.
ni vizuri kuepuka kujichosha sasa gentleman ili walau ufike na nguvu kidogo huko mbinguni kila moja anapostahili kua kulingana na alivyoishi humu duniani :pedroP:
 
Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno.

Vipo vyama vya siasa nchini,
mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa kihistoria usifanyike kwa mujibu wa katiba ya nchi.

Cha kushangaza zaidi,
kauli mbiu ya kuzuia uchaguzi huo inahubiriwa na mwenyekiti wa chama hicho wa taifa pekeyake, hiyo ikimaanisha viongozi wenzake wengine wa kitaifa, hawaielewi na inaonekana kama vile wameona haina faida, haina maana, wala manufaa yoyote kwa wananchi, lakini pia kwa chama hicho kilichopoteza uelekeo tanguu uongozi mpya chini ya Tundu Lisu kushika hatamu.

Akina Romanus kutangaza nia za kugombea urasi, akina Sugu na Aida wa huko Nkasi pamoja na watangaza nia wote nchini kupitia Chadema, wanamtumia ujumbe gani Tundu Lisu na no reform no elections yake?

Nawatakia watia nia wote wa Chadema maandalizi mema ya uchaguzi mkuu wa October, na ni muhimu zaidi pia kujiandaa kukubali matokeo baada ya uchaguzi. Hiyo ndio tamu ya demokrasia 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hao nyumbu wako confused
 
ni vizuri kuepuka kujichosha sasa gentleman ili walau ufike na nguvu kidogo huko mbinguni kila moja anapostahili kua kulingana na alivyoishi humu duniani :pedroP:
Kwa arguements zinazotolewa humu ndani, yaani ni hoi bin taabani
 
Wote hawo ni kuwafukuza wakagombee kupitia vyama vingine,haiwezekani ili wewe uwe kiongozi hadi watu wafe au wawe vilema hatutaki ubinafsi.No reforms no election ova.
hao watia nia wa chadema wanadai hiyo no reform no elections ni ya mtu binafsi kwasababu haina faida kwa wananchi,

unazungumziaje hili gentleman?

na labda ukiwaeleza faida mbili tu watakazopata chadema baada ya kujitenga na michakato ya kidemokrasia nadhani itapendeza zaid pia:NoGodNo:
 
Wakatie nia huko kwingine hatutaki ubinafsi hapa.Kama hujui faida za uchaguzi huru na haki,wahi mirembe haraka bro.
 
relax bas gentleman usipanic?

si ni vizuri ukawaelimisha watia nia hao, walau wapate kujua hata faida mbili tu za hiyo no reform no elections kwa wananchi wao? :pedroP:
 
Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno.

Vipo vyama vya siasa nchini,
mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa kihistoria usifanyike kwa mujibu wa katiba ya nchi.

Cha kushangaza zaidi,
kauli mbiu ya kuzuia uchaguzi huo inahubiriwa na mwenyekiti wa chama hicho wa taifa pekeyake, hiyo ikimaanisha viongozi wenzake wengine wa kitaifa, hawaielewi na inaonekana kama vile wameona haina faida, haina maana, wala manufaa yoyote kwa wananchi, lakini pia kwa chama hicho kilichopoteza uelekeo tanguu uongozi mpya chini ya Tundu Lisu kushika hatamu.

Akina Romanus kutangaza nia za kugombea urasi, akina Sugu na Aida wa huko Nkasi pamoja na watangaza nia wote nchini kupitia Chadema, wanamtumia ujumbe gani Tundu Lisu na no reform no elections yake?

Nawatakia watia nia wote wa Chadema maandalizi mema ya uchaguzi mkuu wa October, na ni muhimu zaidi pia kujiandaa kukubali matokeo baada ya uchaguzi. Hiyo ndio tamu ya demokrasia 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ina ashiria chadema zipo mbili
 
Back
Top Bottom