Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

Wewe una utani na Wahaya!

Wanakagera kumbukeni kwenu, hakuna cha maana, mkiwa miji ya wengine mnajitapa lakini fika wilaya za mkoa wa Kagera yaani utaona aibu
Chukua maji ya baridi unywe utapona hicho kinachokusumbua
 
Wewe una utani na Wahaya!

Wanakagera kumbukeni kwenu, hakuna cha maana, mkiwa miji ya wengine mnajitapa lakini fika wilaya za mkoa wa Kagera yaani utaona aibu
Humu jf kila mtu anapafahamu vzr kagera....
Yaan asilimia 90 wanaifahamu kagera [emoji23][emoji23]

Wew kwenu ni wap tuanzie hapa kwanza maana kila siku kagera wahaya kagera bukoba!!!

Wakati hata sisi tupo mikoa ya watu huku na tunayoyaona yanasikitisha sana.....Tena vijijini ndo mbaya zaidi
 
Sema na manispaa ya Bukoba imalizie stendi ya mabasi Kule kyakairabwa.. maana kila mtu akifika bukoba nakuiona ile stendi ya Sasa anaconclude kuwa kagera na bukoba yote ni pabaya kwa akili hiz za watanzania wengi ambao hawatumii ubongo vzr...
 
Kama hujui kwamba Halmashauri hufanya maendeleo kwa fedha za mapato kutoka kwa wananchi, basi, jichunguzeni; tatizo la umasikini Kagera linaanzia hapo.
 
Mnaringa mno ndiyo maana kila siku Kagera Wahaya Kagera Bukoba πŸ˜€
 
Kama hujui kwamba Halmashauri hufanya maendeleo kwa fedha za mapato kutoka kwa wananchi, basi, jichunguzeni; tatizo la umasikini Kagera linaanzia hapo.
Maendeleo gani hayo tofauti na huduma za kijamii au kwako jengo la halmashauri ndo utajiri?? Mwananchi anafaidikaje na ghorofa la mkurugenzi au mkuu wa wilaya??? Huekeweki point yako ni ipi
 
Maendeleo gani hayo tofauti na huduma za kijamii au kwako jengo la halmashauri ndo utajiri?? Mwananchi anafaidikaje na ghorofa la mkurugenzi au mkuu wa wilaya??? Huekeweki point yako ni ipi
Huwezi kuelewa kwa sababu uelewa finyu ulionao kuhusu maendeleo
 
Mpuuzi kwani Kagera yote wakaazi ni Wahaya tu?...Mshukuruni Nyerere mngekuwa Waganda sasa hivi...ingewafaa kuungana na ndugu zenu..msanii mkubwa anaitwa chameleon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpuuzi kwani Kagera yote wakaazi ni Wahaya tu?...Mshukuruni Nyerere mngekuwa Waganda sasa hivi...ingewafaa kuungana na ndugu zenu..msanii mkubwa anaitwa chameleon [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza hasira mkuu, vijiji vya Kagera vimejengwa na Wahaya na wanyambo
 
Mpuuzi kwani Kagera yote wakaazi ni Wahaya tu?...Mshukuruni Nyerere mngekuwa Waganda sasa hivi...ingewafaa kuungana na ndugu zenu..msanii mkubwa anaitwa chameleon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani kuna sehemu nimewataja au nimetaja Kagera
 
Hapana. Usiliangalie kwa angle hiyo. Munatumia nguvu sana kutuaminisha u are the best wakati sivyo mbali na kwamba ni kweli mkoa wenu ulipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Walibanwa kwa makusudi hili warudi nyuma kimaendeleo vinginevyo wangekuwa mbali ndio maana safu zote za uongozi walikuwa/wanaendelea kuchagua wanazi wapadidimize. Ndio maana data za kusema ni mkoa maskini sana zinakataliwa. Kwa sasa hakuna nyumba za tembe. Na wameihimalisha kwa chakula na kingine kinasafirishwa kwenda nje, najua hutaki lakini ndio ukweli yaani
 
duh bwashe hata kuwe

duhh bwashe hatuangalii majumba makubwa na kifahari bali contribution margin in national economy kama ingekuwa ni majumba ni hakika mngeonekana mko juu.ruvuma haina mahekalu lkn mchango wake ktk pato la taifa uko vzr na kwa kigezo hicho pamoja na kuwa na majumba mazuri yet umaskini umetamalaki.
 
shida ya
bukoba wananchi wake wako ughaibuni na mikoani na wanachokifanya ni kuja kujenga majumba tu huku kijijini lakini yako matupu ukiuliza hili jumba la nani utaambiwa mwenyewe yuko nje sasa utapima uchumi kwa kujenga magofu yanayokaliwa na popo tu wakati shughuri za kiuchumu almost is dull.
 
Dah! Kama alivochukiwa Yesu ndivyo wahaya tunavyochukiwa. Uzuri popote sie tupo na hatubabaiki na korosho zenu. Kinachofurahisha zaidi ni kuona hadi wazaramo eti wanaijua sana kagera, absurd!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…