Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Sawa mkuu
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mto Ngono😀 ubadilishwe jinadubai of africa vision inakamilika soon
Sasa wananchi wanaishi halmashauri?Nimeenda 2019 mwezi wa 8. Kuna umasikini. Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba yamejengwa kama madarasa ya primary
Kweli wew unawazia sijui ubongo gani?...As the gardener so as the garden. Majengo ya Halmashauri yanaakisi kipato cha wananchi na uwezo wao wa kuchangia shughuli za maendeleo. Kwa hiyo uduni wa miundombinu ya Halmashauri ni Sawa na uduni wa kipato cha wananchi kwenye Halmashauri
Wala neno ngono halina maana mbaya kwa kihaya... Sasa watu wabadilishe ili iweje.Mto Ngono[emoji3] ubadilishwe jina
Kwanin huko arusha napo hamna vijijin? Nako si kuna majumba mazur pia! Huo mji wa jiran unaosema ni upi? Moshi? Hivi ushawah kutembelea vijiji vya kilimanjaro? embu panda huko machame kibosho, kirua, marangu nenda mpaka rombo mpakan! Ukitoka huko panda milima ya uparen nenda ugweno, usangi . Kisangara juu nenda mpaka kilomen! .toka hapo nenda same pandisha dido , nenda mbaga,chome gonja, mpaka mamba, hko kote kuna nyumba za kisasa mengine makasri wanaish popo! Yanafunguliwa mwez desemba tu! Pia most of hayo majumba wameajiriwa watu kama ww kuish tu humo na mshahara wanalipwa! Bill za maji,simu na umeme wanalipa wenye majengo! Hayo yanapatikana kilimanjaro tu! Bukoba yapo hayo?Umesema ukweli ila kuitaja Arusha hutashambuliwa na wamasai. utashambuliwa kama kwamba umeutaja mkoa wa hapo jirani na Arusha.
Hapo hakuna nyumba kuna migomba na mboga mbogaKweli wew unawazia sijui ubongo gani?...
Kweli watanzania tunasafari ndefu..
Kwa hiyo ubora wa majengo ya halmashauri mfano chato yakiwa mazuri inamaana watu wa chato wanamaisha mazuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana we huoni wivu kukuta majumba Kama haya vijijini huko mulebaView attachment 1977385
Kiseriani round about Nyama ya mbuzi safisanaFanyeni utalii wa ndani, tembeeni
Arusha majumba ya Kisasa yanateremshwa Moshono, Sakina, kwa Mrefu, Kiserian, Burka, na Chekereni ambapo Leo Rais Samia anaenda leo
Nilimaanisha mkoa wa Manyara ila kama umejaa na Kilimanjaro saidieni wilaya ya Rombo waache ulevi.Kwanin huko arusha napo hamna vijijin? Nako si kuna majumba mazur pia! Huo mji wa jiran unaosema ni upi? Moshi? Hivi ushawah kutembelea vijiji vya kilimanjaro? embu panda huko machame kibosho, kirua, marangu nenda mpaka rombo mpakan! Ukitoka huko panda milima ya uparen nenda ugweno, usangi . Kisangara juu nenda mpaka kilomen! .toka hapo nenda same pandisha dido , nenda mbaga,chome gonja, mpaka mamba, hko kote kuna nyumba za kisasa mengine makasri wanaish popo! Yanafunguliwa mwez desemba tu! Pia most of hayo majumba wameajiriwa watu kama ww kuish tu humo na mshahara wanalipwa! Bill za maji,simu na umeme wanalipa wenye majengo! Hayo yanapatikana kilimanjaro tu! Bukoba yapo hayo?
Ukiwa umejaa chuki,roho mbaya, uchawi ndani yako huwezi ona uzuri wa hiyo picha zaidi ya migomba.Hapo hakuna nyumba kuna migomba na mboga mboga
Kuanzia kyamirwa, izimbya, mpaka kyaka wasukuma wapo kibao wanalima mchele, sikuwahi kujua kagera kunastawi kila kitu aisee. Yahani Great Empire isipofanyiwa wivu mpaka miaka mitano ijayo wahaya watakuwa mbali sana. Vijana kwa sasa halali. Kila fursa wanaiona. Ukienda gulio kutana maajabu ya mbona mboga zilivyojazana hadi wanazimwaga kwa kukosa soko. Wasipohujumiwa kwenye vanila huu mkoa utaenda mbali sana. Ila nimegundua wafanyabiashara wanapanga bei na mkuu wa mkoa anawaangalia tu. Ikiwezekana kila mkoa mkuu wa mkoa awe anatoka maeneo husika hayo ndiyo maendeleo, sasa unachukua mkuu wa mkoa toka lindi atapapenda vipi huko. Wataendeleza mawivu tu kudidimiza mkoaNa fact iko hivi, hivi taasisi yetu ya takwimu Tz iko chini ya CHUWA? Chuwa akaipandishe Kagera? Chuwa aipende Kagera?
Sie hatunaga shobo nao na Chuwa wao, ila tunamkaribisha aache chuki na Great Empire. Kila leo analeta data neg juu ya Kagera, why?
Kagera yetu tunaimudu wenyewe na wala hatuitaji kusaidiwa saidiwa na ndo maana kila kabila anayegusa Kagera hatamani tena kurudi kwao alikotoka. Na hilo hata Chuwa mwenyewe analijua japo anapublish fake data kuhusu mkoa wetu
Neno ngono lina maana mbaya kwa kihaya...Wabadilishe.
Huo mto watu wengi wanalima mpunga na kupata hasara.
Muleba ipi nisiyoijua?Kweli wew unawazia sijui ubongo gani?...
Kweli watanzania tunasafari ndefu..
Kwa hiyo ubora wa majengo ya halmashauri mfano chato yakiwa mazuri inamaana watu wa chato wanamaisha mazuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana we huoni wivu kukuta majumba Kama haya vijijini huko mulebaView attachment 1977385
Muleba nimetembea pale mjini na vijijini. Changamoto ni nyingi.Sasa wananchi wanaishi halmashauri?
Hiv hujiulizi muleba kuwa na hospital kubwa nne Tena Wala sio za serikali!!
Hujawahi kujiuliza kwa Nini muleba ndo wilaya yenye shule nyingi nchini zaidi ya 290.
Tatizo la wabongo wanafikiri maendeleo ni mijini tu .. na vijijini panapaswa kuwa maskini.
Lakin kagera vijijini ndo Kuna neema zaidi
Zitaje, muleba ndiyo inayoongoza halmashauri nyingi kwa kipatoMuleba nimetembea pale mjini na vijijini. Changamoto ni nyingi.
Inawezekana wewe ndiye DED au Mkuu wa mkoa waliojaa na roho ya kwanini upendi kusikia maendeleo ya watu hawa. Huwezi kutoka kusini ukasema ukweli, utaongozwa na mawivu tuu.Muleba nimetembea pale mjini na vijijini. Changamoto ni nyingi.