Hivi na nyinyi wapare mmeanza sifa kama ndugu zenu? Yaani wapare wamejijenga wakati picha yenu ni mwanga na same! Sikuhizi mataahira wanaongezeka! Yaani mwanga ukifika utafikiri kijiji gani sijui!Usilinganishe kichuguu na mlima wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na nyinyi wapare mmeanza sifa kama ndugu zenu? Yaani wapare wamejijenga wakati picha yenu ni mwanga na same! Sikuhizi mataahira wanaongezeka! Yaani mwanga ukifika utafikiri kijiji gani sijui!Usilinganishe kichuguu na mlima wewe
Kule Kagera ilikuwa zamani kwa kweli siku hizi wako hoi, na kwa kuwa watu wa kule hawapendi muingiliano wa watu wa kabila zingine kwenda kuwafungua macho, na kutokana kasumba ya wao kujiona' nshomile' basi umaskini huko umezidi kuendelea kutamalaki aisee.... .... kaazi kwelikweli.Wahaya mna jambo lenu leo. Mnapenda misifa ndiyo maana hamna maendeleo
Watu huwa mnashangaza Sana...Kule Kagera ilikuwa zamani kwa kweli siku hizi wako hoi, na kwa kuwa watu wa kule hawapendi muingiliano wa watu wa kabila zingine kwenda kuwafungua macho, na kutokana kasumba ya wao kujiona' nshomile' basi umaskini huko umezidi kuendelea kutamalaki aisee.... .... kaazi kwelikweli.
Achana na mbege njoo Bukoba ulime vanilla utajirikeWahaya wana mambo maendeleo hayana siri sasa kujieleza kwa nini. Ukienda upareni na uchagani watu wamejenga vijijini lakini hakuna show off. Tatizo ni kupenda masifa halafu huna cha kuonyesha
Ubarikiwe mkuu umesema ukweliNilimpeleka dogo juzi chuo cha science kagemu nilipita shule moja inaitwa rugambwa girls aise inamajengo Mazuri sana mie nilidhani University
Sijui unaongea nini, hivi kuna watu wana fitina kama huko Kilimanjaro??Kule Kagera ilikuwa zamani kwa kweli siku hizi wako hoi, na kwa kuwa watu wa kule hawapendi muingiliano wa watu wa kabila zingine kwenda kuwafungua macho, na kutokana kasumba ya wao kujiona' nshomile' basi umaskini huko umezidi kuendelea kutamalaki aisee.... .... kaazi kwelikweli.
Umeenda mwaka gani? Maendeleo ya ghafla yamechomoza kipindi hiki cha miaka 10.Nimefika Muleba; Pale mjini, Izigo, Nyakanazi, huko mpaka Mahakama ya Mwanzo kule Rushwa, na Kijiji chote cha Rushwa. Hali ni ngumu sana huko
Sasa ukifika Ihungo ndio balaa. Alafu wanafunzi wanaosoma kule wanarudi wamejazia maana misosi ya haja. Ukienda shule nyingine watoto wanaomba kuhama maana wamekondeana wamebaki kichwa tu.Nilimpeleka dogo juzi chuo cha science kagemu nilipita shule moja inaitwa rugambwa girls aise inamajengo Mazuri sana mie nilidhani University
Nimeenda 2019 mwezi wa 8. Kuna umasikini. Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba yamejengwa kama madarasa ya primaryUmeenda mwaka gani? Maendeleo ya ghafla yamechomoza kipindi hiki cha miaka 10.
Kule Kagera ilikuwa zamani kwa kweli siku hizi wako hoi, na kwa kuwa watu wa kule hawapendi muingiliano wa watu wa kabila zingine kwenda kuwafungua macho, na kutokana kasumba ya wao kujiona' nshomile' basi umaskini huko umezidi kuendelea kutamalaki aisee.... .... kaazi kwelikweli.
Sasa majengo ya serikali na umaskini wa watu vina huusiano? Serikali iliisusa kagera miaka kufuatia wivu tu. Watu wameamka wanajenga maisha yao wenyewe. Nenda hospitali ya rubya na kagondo uje ulinganishe na mwananyamala au temeke. Nenda ndorage. Wivu wa viongozi umekwamisha miundo mbinu. Kagera hawanywi maji na mifugo kama Arusha. Mito ni mingi na haiko mbali sana. Viwanda vya juice vipo, vya maji vipo kwa sasa kuna tajiri anaprocess kahawa na kuisaga na kupack anapiga mihela hatari. Sasa usisumbuke na majengo ya serikali sumbuka na majengo ya watu na mashambaNimeenda 2019 mwezi wa 8. Kuna umasikini. Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba yamejengwa kama madarasa ya primary
Acheni maneno fanyeni kaziSasa majengo ya serikali na umaskini wa watu vina huusiano? Serikali iliisusa kagera miaka kufuatia wivu tu. Watu wameamka wanajenga maisha yao wenyewe. Nenda hospitali ya rubya na kagondo uje ulinganishe na mwananyamala au temeke. Nenda ndorage. Wivu wa viongozi umekwamisha miundo mbinu. Kagera hawanywi maji na mifugo kama Arusha. Mito ni mingi na haiko mbali sana. Viwanda vya juice vipo, vya maji vipo kwa sasa kuna tajiri anaprocess kahawa na kuisaga na kupack anapiga mihela hatari. Sasa usisumbuke na majengo ya serikali sumbuka na majengo ya watu na mashamba
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ulitaka wananchi waache kujenga nyumba zao wajenge halmashauriNimeenda 2019 mwezi wa 8. Kuna umasikini. Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba yamejengwa kama madarasa ya primary
Kazi gani au ujaenda kanisani?Acheni maneno fanyeni kazi
Wivu ni kitu kibaya sanaKagera mkoa wa kimaskini
Sisi njombe tunawakimbiza mbaya sana[emoji1787]
As the gardener so as the garden. Majengo ya Halmashauri yanaakisi kipato cha wananchi na uwezo wao wa kuchangia shughuli za maendeleo. Kwa hiyo uduni wa miundombinu ya Halmashauri ni Sawa na uduni wa kipato cha wananchi kwenye Halmashauri[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ulitaka wananchi waache kujenga nyumba zao wajenge halmashauri