Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #61
Duniani kuna mambo ya ajabu sana!!Mzee ni training tu Kuna baadhi ya wadada kwenye kozi za udaktari wa binadamu huogopa mortuary na MAITI (Koti ceremony)
Ila KADRI siku zinavyo enda unazoea mpaka unaona kawaida.
Kuna Uzi hupo humu wa jasusi mmoja wa Mugabe alikili kuhusika na kuua na kutesa wapinzani wa serikali ya Mugabe (hufundishwa na watu katili wasio na huruma wanavuta bangi na pombekali )
Na ukisha ingia huko hutoki mpaka kifo yaani unakua kwenye ndoa hutoroki wewe ni killing mashine na itakua hivyo Maisha yotee..
Kwa East Africa Makabila ya WATUSI, WAHUTU, WAKURYA , pia kabila analotoka IDDI AMINI pia Jamii za watu wa Kenya utawapata watu wanyama na makatili wa aina hiyo
Naomba kuwasilisha
Kisayansi Binadamu ni mnyama tu kama wanyama wengine tofauti yake kubwa ikiwa ni consciousness ya kuelewa mambo mengi, uwezo wa kuongea na uwezo wa kutumia nyenzo kwa ufanisi zaidi zikiwemo hizo watesaji wanazotumia .Hatuna tofauti na fisi wanaotafuna mnyama alie hai mpaka mnyama anakata roho huku wao wakiendelea kumla nyama tena wanagombania.
Huwa fisi hatafuni wa jamii yake! Waombe fisi wote msamaha!Hatuna tofauti na fisi wanaotafuna mnyama alie hai mpaka mnyama anakata roho huku wao wakiendelea kumla nyama tena wanagombania.
Sio kweli, wengine wanafundishwa ukatili ukubwani, pia udaktari wa mochwari hauhusiani na ukatiliHawa ni watu ambao wanafundishwa ukatili Toka wadogo hawana tofauti na madaktari wa mochwari
Ukatili hauhusiani na kabila, kuna Wazaramo makatili sana pia.Mzee ni training tu Kuna baadhi ya wadada kwenye kozi za udaktari wa binadamu huogopa mortuary na MAITI (Koti ceremony)
Ila KADRI siku zinavyo enda unazoea mpaka unaona kawaida.
Kuna Uzi hupo humu wa jasusi mmoja wa Mugabe alikili kuhusika na kuua na kutesa wapinzani wa serikali ya Mugabe (hufundishwa na watu katili wasio na huruma wanavuta bangi na pombekali )
Na ukisha ingia huko hutoki mpaka kifo yaani unakua kwenye ndoa hutoroki wewe ni killing mashine na itakua hivyo Maisha yotee..
Kwa East Africa Makabila ya WATUSI, WAHUTU, WAKURYA , pia kabila analotoka IDDI AMINI pia Jamii za watu wa Kenya utawapata watu wanyama na makatili wa aina hiyo
Naomba kuwasilisha
Ukatili wa mzaramo na ukatili wa mkurya 😊Ukatili hauhusiani na kabila, kuna Wazaramo makatili sana pia.
Watibeli Hawana adhabu ya ulawiti. Kosa la kuuawa unauawaTujiulize watibeli pia akina Robert Heriel Mtibeli ambao wanaruhusu ulawiti kwa watu wanaotembea na wake za watu, hao walawiti huwa wanatumia nini kuweza kumlawiti mwanaume mwenzao!
Bangi ni Kama kichocheo kwa hao makatili kupata hamasa ya kuwatesa kikatili.Sasa bangi inahusikaje humu ? Bangi haina undugu na uovu acheni upotoshaji
Nilipitia pia maelezo ya jamaa mmoja ni ex - SF wa Guatemala (kaibiles) aliwahi naswa kama POW's anakwambia mtu aliye fit katika interrogation ni hatari na mbaya zaidi ajue pia wewe ni mtu mwenye mafunzo.Kwanza uelewe wanakuwa Trained na hizo zinazoitwa huruma kwao hawana. Wao huona mtu kama kitu kisichokuwa na Thamani.
Ktk moja ya vitabu vilivyoandikwa na US Navy Forces vya marekani vinaelezea namna watekaji, wauaji na Snipers wanavyofundishwa.
Kwenye kitabu kile kinachotisha hata kwa kusoma kinaeleza kuwa Wauwaji wanatengenezwa kisia( mentally) kiasi kwamba wakiambia Piha huyu risasi wao wanapiga bila kujiuliza swali( wako programmed).
Mwandishi anasema wanatembea kama vile hawana akili zao. Yaani kama unavyoweza kumwamrisha Mbwa wa Polisi.
Ktk maelezo yao wanasema wamefundishwa mbinu mbali mbali za Extended Interogation zenye adhabu kali ambazo hata Jambazi aliyekomaa akizipata anakubali show.
Wametengenezwa kiasi kwamba Mateso kwa binadamu mwingine kwao ni Furaha na Amani moyoni.
Ok sijawahi shuhudia hiyo postmortem, labda sijui inavyotisha, ila mimi ni mtu wa barabarani, nimeshuhudia ajali kadhaa ambazo watu timamu wanakata roho huku naona.Basi tunatofautiana mkuu,me niliwahi kushuhudia postmortem,nikaona yule maiti anavyokatwa mara mkono,mara apasuliwe kifua...daahhh...sitaki kukumbuka asee ile kitu.
Dunia ina mengi...Kwanza uelewe wanakuwa Trained na hizo zinazoitwa huruma kwao hawana. Wao huona mtu kama kitu kisichokuwa na Thamani.