Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

Unaogopa kugongewa miaka hii? Wewe unajuaje hugongewi hata sshv?
Nisijue tu km anagongwa na aniheshimu inatosha, na ananiheshimu nikiwa nimemkunja namkunja haswa hadi majirani wanakuja kugonga Mlango kuuliza kuna nini mboni kelele zimekua nyingi kumbe hawakujua
 
Kumkunja hata mpaka kizazi kichungulie nje sio guarantee kuwa hatagongwa nje
 
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.

Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.

Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.
Umekua sasa.
 
Nisijue tu km anagongwa na aniheshimu inatosha, na ananiheshimu nikiwa nimemkunja namkunja haswa hadi majirani wanakuja kugonga Mlango kuuliza kuna nini mboni kelele zimekua nyingi kumbe hawakujua
😂😂 bro aliekuambia kumkunja kisawasawa ni guarantee ya kutokugongwa nje ni nani?? You have a long way kuwajua hawa viumbe.
 
Nimesema kikubwa nimemkojolea ndani mpaka mimba sio kesi yaan kikubwa nimemkojolea ndani ndani ndani na nimehakikisha nimemkojolea ndani hayo mengine hayanihusu
 
Kikubwa nimemkojolea ndani mpaka mimba sio kesi
Yeap na uhakikishe tu DNA ya madogo na yako vinalandana na asije akakubebea ya njema nyingine...kuwajua Wanawake wanataka nini ni shughuli
 
Nimesema kikubwa nimemkojolea ndani mpaka mimba sio kesi yaan kikubwa nimemkojolea ndani ndani ndani na nimehakikisha nimemkojolea ndani hayo mengine hayanihusu
Ndio hivyo mkuu just play ur part mengine muachie Mungu, unaweza kumgonga kisawasawa na ukagongewa, unaweza usimgonge kisawasawa na ukagongewa, unaweza kuwahi home na ukagongewa na unaweza kuchelewa pia kurudi na ukagongewa. Kunajamaa humu hua anasema " hayana muongozo mapenzi"
 
Nimesemaje kikubwa nimemkojolea ndani mpaka mimba sio kesi
 
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.

Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.

Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.
Shuhuda nyinyi zinazotolewa humu mitandaoni siku hizi naona Kama zinapigia upatu suala la kampeni ya 'Kataa Ndoa.'
Inavyoonekana kwa sasa Ndoa nyingi sana zipo ICU.
 
Sema watu ambao hampitii bar mnakosa mengi kuna wahudumu wana "big nyash" nyie.
 
Umetoka kazini boss kakugombeza urudi nyumbani wife mmegombana utaamua uende mbele au urudi nyuma
 
Back
Top Bottom