Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Ni heri kupoteza m1 kuliko kupoteza wengi kutokana na ulimi wa huyo m1.

ONE FOR THE ALL.

#MASLAHIMAPANAYATAIFA.
Waliokuwa wakidhani wanashikilia maslahi mapana ya taifa. Wako wapi leo ?! 6ft under . Ua mwananchi mwenziyo kama wewe utaishi milele. Lakini kwa maisha haya mafupi ni kujichumia dhambi na janga juu yake.
 
Kubenea alishasema miaka miwili nyuma huko lkn nyie wanachama wa CHADEMA mmeshindwa kumbana mwenyekiti wenu aseme ukweli.
Yaani nawe ni hovyo sikujua. Jinai ichunguzwe na Cdm ?! Kama ni umburula wewe unaongoza. Hasara nyingine kwa wazazi
 
Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Sasa watafunguaje file wakati wao ndio waliofanya hilo tukio?
 
Paul Makonda au Daudi Bashite alikuwa ndiye Maliyamungu wa Magufuli. Hakuna mauaji, utesaji na utekaji ambao Makonda hajahusika. Hata kwenye mwenendo wa kesi ya Sabaya nakumbuka ametajwa.

Makonda kufikishwa Mahakamani kwa jinai alizohusika ni suala la muda tu, hawezi kukwepa kwenye uhai wake. Labda afe kabla
 
Jaduong tumia lugha ya staha hata kama umechukia
Huyo jamaa anafanya matani na maisha ya watu, holyoake kabisa . Haya mambo tunaendanayo wapi ?!

Nani angefikiri kuwa Polepole na Ndugai leo waonekane ni wasaliti kwa kiti chetu no. 1 ?!
Mambo ya nchi yetu tuzungumzie haki tu , nothing else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…